Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
na kuna wadada hawana kabisa,juzi nilikuwa pharmacy moja nanunua dawa akaja mdada "naomba p2" mule ndani tulikuwa watu wanneHii nayo kali.
Mbona siku hizi hivyo vitu havina uaibu tena na mara nyingi wenye aibu ni sisi wanunuaji hasa muuzaji anapokuwa Me.
Haina aibuAah wapi. Pedi ni aibu hata kuitaja
Kuna siku waifu aliniagiza nimrudie na pedi. Nilipata wakati mgumu pake duka la dawa niliponunua ilibidi niandike kwenye karatasi mana kulikuwa na watu mob mle ndani. Muuzaji alicheka sanaHaina aibu
ni kazi kama nyingine sema ni vile watanzania tumejiwekea kuna kazi za wanaume na wanawake .
Aisee kama hujazoea lazima ikupe shida kuitaja .Kuna siku waifu aliniagiza nimrudie na pedi. Nilipata wakati mgumu pake duka la dawa niliponunua ilibidi niandike kwenye karatasi mana kulikuwa na watu mob mle ndani. Muuzaji alicheka sana
Muda mwingine anajipima kabisa kuonyesha namna nzuri ya uvaajiAcha ujinga Pedi ni kama nguo nyingine za mwili, angalia kipato tena uwe unafundisha na wateja njia nzuri za kuvaa hizo pedi
Mwenye uhitaji hachagui kaziMambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza pedi hizo za wadada.
Mnanishaurije?
Yes kabisa ku demonstrate mfano wake, as long as huibi why uone aibu?Muda mwingine anajipima kabisa kuonyesha namna nzuri ya uvaaji
Ni perception zako tu, Mimi siogopi hata kukiwa na watu mia hiviAah wapi. Pedi ni aibu hata kuitaja
[emoji3][emoji3][emoji3] poleKuna siku waifu aliniagiza nimrudie na pedi. Nilipata wakati mgumu pake duka la dawa niliponunua ilibidi niandike kwenye karatasi mana kulikuwa na watu mob mle ndani. Muuzaji alicheka sana
Naomba nianze na wewe😅 kwenye mafunzo kwa vitendo😅Acha ujinga Pedi ni kama nguo nyingine za mwili, angalia kipato tena uwe unafundisha na wateja njia nzuri za kuvaa hizo pedi