Gaganiga
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 168
- 376
Saludo,
Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru mungu for everything.
Hello niwatangazia umma au member wa jamii forums ya kwamba nimepata mchongo I mean kazi umoja wa mataifa kwenye shirika la wakimbizi(UNHCR) site ya sudan kusini katika makambi mbali mbali kama kule refugees camp, pedui refugees camp na n.k aisee life is good.
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya furaha tu, kama una wivu na chuki tafadhali Pita hivi huu uzi haukuhusu nyie endeleeni na battle zenu za nchi yenu sie wengine tunaendelea kupaa mawinguni.