Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

WaTa
Mkuu umemshauri ipasavyo, ila umemkamia sana hii ni ushauri iliyo beba chuki ndani yake.., kikubwa ungesema mshukuru Mungu kwa kukupa hiyo nafasi ingetosha zaidi ya yote hayo ..,
Nzania mkuu chuki kwao ni kama chai wala simshangai ni umasikini wa kwao umemuathiri
 
Hongera sana man kuna mwanangu wa intake kabisa ilimbidi ateme chombo huko kuna utamu wake. God bless man
 
Wee unafurahia wenzako wana Pata mataizo katk nchi zao wewe unaenyoy Hali hyo kwanin unamkufuru mungu kwa kauli zako za hvyo

Amani ingepatikana katk maeneo hayo hyo kazi ingepata wapi ?
Waombee mungu amani ipatikane na siyo kuja kuongea ushuzi hapa eti maish Ni good kisa unauhudumia wakimbizi ambo serkali zao ndio imewafikisha hapo walipo

HV lini waatanzania mtapata uelewa kidgo mm nilidhani kuwa unamshukuru mungu kumbee unafurahia hao jamaa kupata matezo shenzi typuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwanza unatumia infinix toka zako
 
Muda si nrefu utaona "modi" mmoja mbabe atakavopita na kichwa
 
Ni Ile kauli yake, ujue smt binadamu kuchange behavior Ni hard so should either change by pains or by pleasure. Ilikuwa Kama kumkaripia ama kumkanya. Sasa chuki labda ya Nini ndugu.
Chuki yako itanifanya niwe masikini? Are you God?
 
Wee unafurahia wenzako wana Pata mataizo katk nchi zao wewe unaenyoy Hali hyo kwanin unamkufuru mungu kwa kauli zako za hvyo

Amani ingepatikana katk maeneo hayo hyo kazi ingepata wapi ?
Waombee mungu amani ipatikane na siyo kuja kuongea ushuzi hapa eti maish Ni good kisa unauhudumia wakimbizi ambo serkali zao ndio imewafikisha hapo walipo

HV lini waatanzania mtapata uelewa kidgo mm nilidhani kuwa unamshukuru mungu kumbee unafurahia hao jamaa kupata matezo shenzi typuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unataka kusema Dr uomba watu waugue ili awatibu? Je anayejenga hospital binafsi maombi yake kwa Mungu ni kuwa watu waugue ili apate pesa? Angalia hospital za serikali mapato yakipungua vingozi wa hospital utiliwa shaka na wanaweza kuhamishwa kwa sanabu hiyo.
 
Kaka vyema ukatupa na namna tunavoweza zipata hizo kazi...maana imekuwa ngumu kuzifumania
 
Yaani una ego mbaya mno aisee ukiwa level za akina Elon Musk utatunyea wewe ukiwa mawinguni. Yaani hizi sentence ndio umeharibu na umejionyesha akili yako ilivyo Kama kimipasho fulani.kama vitisho.ama kuwababaishia watu.

Ile ya utoto ukiwa na kitu unaenda kuwalingishia wenzako.
UNHCR wameajiri 🚮🚮, ila tambua hizo ni contract Jobs
 
Back
Top Bottom