Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

WaTa
Mkuu umemshauri ipasavyo, ila umemkamia sana hii ni ushauri iliyo beba chuki ndani yake.., kikubwa ungesema mshukuru Mungu kwa kukupa hiyo nafasi ingetosha zaidi ya yote hayo ..,
Nzania mkuu chuki kwao ni kama chai wala simshangai ni umasikini wa kwao umemuathiri
 
Hongera sana man kuna mwanangu wa intake kabisa ilimbidi ateme chombo huko kuna utamu wake. God bless man
 
Kwanza unatumia infinix toka zako
 
hongera sana kumbuka kuzingatia maadili ya kazi.
 
Muda si nrefu utaona "modi" mmoja mbabe atakavopita na kichwa
 
Ni Ile kauli yake, ujue smt binadamu kuchange behavior Ni hard so should either change by pains or by pleasure. Ilikuwa Kama kumkaripia ama kumkanya. Sasa chuki labda ya Nini ndugu.
Chuki yako itanifanya niwe masikini? Are you God?
 
Unataka kusema Dr uomba watu waugue ili awatibu? Je anayejenga hospital binafsi maombi yake kwa Mungu ni kuwa watu waugue ili apate pesa? Angalia hospital za serikali mapato yakipungua vingozi wa hospital utiliwa shaka na wanaweza kuhamishwa kwa sanabu hiyo.
 
Uli apply vipi mkuu? Walitangaza au?
 
Kaka vyema ukatupa na namna tunavoweza zipata hizo kazi...maana imekuwa ngumu kuzifumania
 
UNHCR wameajiri 🚮🚮, ila tambua hizo ni contract Jobs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…