Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

She Quoted you

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
687
Reaction score
1,184
Naombeni ushauri jamani,

Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani.

Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.

Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini. Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
 
epuka ulevi, kumbuka mafundisho ya kanisani
jitahidi ku save kisha wekeza kwenye UTT au Bond za serikali ikifika tshs 100m
 
Kuwa Muislam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…