Nilipewa za hpylory baada yakuwa postive nikamaliza nkapewa clopidogrel ya moyo nayo natumia na dawa za presha now nilipewa dawa inaitwa isosobide ndio maumivu ya moyo yakaisha imebaki kama kavibrationkwa case yako kuna mambo mawili
1-je umepewa dawa sahihi za ugonjwa wako?
2-Isije kuwa unatumia dawa wakati huna tatizo ukaja sababisha tatizo jipya.
Pole sana, utakaa sawa.Nilipewa za hpylory baada yakuwa postive nikamaliza nkapewa clopidogrel ya moyo nayo natumia na dawa za presha now nilipewa dawa inaitwa isosobide ndio maumivu ya moyo yakaisha imebaki kama kavibration
Habari!Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.
Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.
Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.
Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
Hivi nauli mpaka india ni sh ngapiHuwa nadhan wanashindwa kusoma na kuelewa vipimo. Huenda huna hilo tatzo maana kuna mtu alishaambiwa ana kansa wakataka hata kumkata ziwa alikuwa ashaanzishiwa radiotherapy, kwensa india kumbe kansa hana wakaishia mpa dawa in a month alikuwa ashaanza kupata nafuu
Habari!
Kwanza nikupe pole kwa kuumwa na hongera kwa kupata mtoto.
Pili naomba uwe na utulivu kwenye wakati huu uliopo.
Kwenye kutoa huduma, wahudumu wa afya huweza kutoa mawazo yao kulingana na dalili pamoja na ukaguzi wanaoufanya kwenye mwili.
Kuna matatizo ambayo dalili zake huingiliana sana na ukizingatia na matumio kabla ya dalili.
Uthibitisho au kanusho la mawazo huweza kuja baada ya vipimo. Vipimo pia huweza kutofautiana kuweza kung'amua tatizo kulingana na mazingira tofauti:
1: Aina ya kipimo vs toleo lake.
2: Mpimaji husika
Kwa kadi ya tatizo linaloelezwa ni kweli dalili zake zinaweza kuleta mawazo mengi kwa mtoa huduma ya afya. Hii inatokana na mambo mengi yaliyokuwa yanakuzunguka.
Mfano:
1: Ujauzito
2: Valve prolapse
3: Presha
4: Mabadiliko ya ujazo wa damu
5: Mabadiliko ya vichocheo
6: Mabadiliko ya moyo kulingana na hali ya ujauzito
Mfano:
Kuwa mjamzito/ujazo wa damu kuongezeka/presha/ huweza kufanya hali ya valve peolape kuwa si njema/tatizo huzidi lakini hayo yote huweza kusababiaha moyo kutanuka/Dilated cardiomyopathy.
Hapo utapata dalili za :
1: kizunguzungu
2: kuchoka
3: moyo kwenda mbio
4: kifua kubana
5: maumivu ya kifua
Kupata presha baada ya kujifungua ni suala ambalo huweza kumtokea mama yeyote. Halijalishi tatizo lako la hapo kabla.
Valve prolapse pia huweza kuleta maumivu ya kifua kwani kunakuwa na ahida ya moyo kupata chakula na okaijeni ya kutosha.
Ili kuzingatia yote hapo juu ni ukweli kwamba uzingatifu mkubwa ni muhimu ili kujua mtihani kwa watoa huduma kwani kila kimoja hapo juu kina mchango wake kwenye hali unayojisikia.
Baada ya kujifungua Mabadiliko husika yaliyotokea wakati wa ujauzito nayo huondoka na kuufanya mwili kuyumba tena.
Bado kuna uwezekano mkubwa uwezo unaoonyeshwa na moyo kurejea vyema kama hayo hapo yote yakifanyiwa kazi vyema kulingana na uwezo unaouonyesha.
Kuna vitu utahitaji kuzingatia wakati wa tiba yako:
1: matumizi sahihi ya dawa zako
2: kuondoa wasiwasi
3: kupunguza matumizi ya chumvi
4: kutokutumia vinywaji kama kahawa, coca, pepsi
5: kutokukaa na njaa
6: kunywa maji ya kutosha
7: kutokufanya mazoezi/kazi za nguvu
8: hakikisha kiasi chako cha damu ni kizuri
NB: Cardiologist opinion/mawazo ni muhimu ili kuweka haya yote sawa.
Asante sana umenielezea vizuri na kunipa moyo nashukuru japo hadi sasa sijui natibu nini ni presha au moyoHabari!

Asante sana umenielezea vizuri na kunipa moyo nashukuru japo hadi sasa sijui natibu nini ni presha au moyo
Pre-eclampsia 🙄Nadhani mkuu utakuwa umepata Pre-eclampsia. Huwa inatokea normally after mimba ikifika week 20 au baada ya kujifungua. Tafadhali tumia google kusoma kuhusu Pre-eclampsia na ufananishe na unachoumwa. Kama Upo Dar Naweza kukuelekeza zaidi kwa good physicians au gynecologists wazuri.
Pole sana na get well soon
Na hakuna kitu utafanya kubadilisha hii iko toka dunia inaumbwa.Pole sana pambania afya yako mkuu, matatizo yote haya alafu mtoto baadae anakuletea dharau, watoto waheshimuni wazazi wenu
Kwaajili ya ufumbuzi wa tatizo lako jaribu kwenda Ikonda makete au malkia wa ulimwengu (queen of universe singida). Baada ya hapo ndio uanze kujitibia. Stress ndio zotakuondoa mapema.Madaktari wa tz huwa wanabet kwemye afya zetu
Kweli kabisa ndugu namuomba Mungu nikiimarika niende huko jkciNionavyo kinachokusumbua zaidi kwa sana ni hofu kuliko hata hiko unachoambiwa huko hospitali.
Nakushauri punguza hofu. Moja ya njia za kupunguza hofu ni kukutana na wataalamu sahihi wa tatizo lako.
Nenda pale JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE (JKCI) upimwe vizuri na wabobezi upate tiba.
Asante sana umenipa ushauri mzuri ambao sikuupata kwenye mahospitali yote niliyozunguka ubarikiwe sanaKwa mujibu wa mtiririko wa maelezo ni vyote vitatu.
1:Valve prolape: inawezekana kabisa ulikuwa/tangu umezaliwa unayo au ikazishwa na mazingira ya ujauzito kama yalivyoelezwa hapo juu.
2: Uwepo wa presha: pia unazidisha tatizo la valve prolapse.
3: Mabadiliko ya moyo/cardiomyopathy wakati wa ujauzito pia huleta tatizo kuonekana zaidi.
Hivyo:
1: kujifungua
2: kutibu presha
Vyote vinatoa nafuu kwa moyo na kuleta nafuu kwenye prolapse. Tiba unayopata itasaidia vyote kwani vinategemeana. Kitu muhimu ni mpangilio wa aina ya dawa unazopewa a kuzingatia mwenendo wa maisha.
Maana yake: kiasi cha presha iliyotokana na ujauzito kitapungua au kuondoka kabisa, prolapse itapungua au kuondoka kabisa na cardiomyopathy kama ipo itapungua au kuondoka kabisa.