Pole, ila nilicho jifunza ni kwamba jambo la kubeba mimba mimba na kujifungua linaweza kubadilisha hali ya Afya ya mtu husika, kwa sababu ya nguvu anayo tumia... Mke wangu alikuaga ni mwenye nguvu sana na Afya njema, lakini baada ya mtoto wa kwanza akaanza matatizo ya mgongo na kichwa ni balaa, mtoto wa pili nae baada ya kujifungu na mpaka kuacha kunyonyesha hali imezidi kua mbaya, watoto wako darasa la sita na la kwanza sasa lakini Afya ya mama yao ni mgongo na kichwa kisicho achia, mala kwa mala, tumepima na kupima pasi kuona ugonjwa wowote ktk hospital kubwa na vipimo vikubwa, yaani kwa sasa imekua kama wanaojifungua kwa operation ndo wanakua salama zaidi kuliko anaye Sukuma mtoto.
Pole, kadri siku zinavyo kwenda utakuja kukaa sawa, na wakati mwingine madawa ya hospital usitumie sana maana yatakukazia sumu tu, tumia miti shamba maana haina madhara.
Sent using
Jamii Forums mobile app