Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Pole. Ulienda hospital mkoa gani? Nenda hospital kubwa Dar, Muhimbili, Agha kHan , regency n.kHabari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.
Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.
Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.
Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
Mtoto? Sema wanaume msivyo na huruma!Pole sana pambania afya yako mkuu, matatizo yote haya alafu mtoto baadae anakuletea dharau, watoto waheshimuni wazazi wenu
Pole, ila nilicho jifunza ni kwamba jambo la kubeba mimba mimba na kujifungua linaweza kubadilisha hali ya Afya ya mtu husika, kwa sababu ya nguvu anayo tumia... Mke wangu alikuaga ni mwenye nguvu sana na Afya njema, lakini baada ya mtoto wa kwanza akaanza matatizo ya mgongo na kichwa ni balaa, mtoto wa pili nae baada ya kujifungu na mpaka kuacha kunyonyesha hali imezidi kua mbaya, watoto wako darasa la sita na la kwanza sasa lakini Afya ya mama yao ni mgongo na kichwa kisicho achia, mala kwa mala, tumepima na kupima pasi kuona ugonjwa wowote ktk hospital kubwa na vipimo vikubwa, yaani kwa sasa imekua kama wanaojifungua kwa operation ndo wanakua salama zaidi kuliko anaye Sukuma mtoto.Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.
Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.
Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.
Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
Ingekuwa mke wangu ningekwambia acha kutumia dawa ya presha na uanze Mara moja kutumia KITUNGUU SAUMU Kama presha yako ni ya kupanda na TANGAWIZI kama presha yako ni ya kushuka.Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.
Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.
Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.
Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
OK sawa maana huyo ni mtaalam kwenye masuala ya moyoSipo dar
Sidhani kama mnaweza kuwasiliana na kuelewana kwa njia ya simu kwa jinsi suala lako lilivyoAu naweza kumconsult online
Pole sana umejaribu kwenda taasisi ya jakaya kikwete muhimbili?Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi.
Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa.
Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na haraka, pia baadhi ya vipimo ECG ilisema Ischemia na Possible Heart Enlargement na echo EF 53-58 nna regurgitation ya valve Ila wanasema zipo sawa hazina shida.
Nipo kwenye dawa za presha so nawaza sana kwanini hospital nyingine waseme nina tatizo nyingine waseme sina?
Kwani wanawake wanahuruma?Mtoto? Sema wanaume msivyo na huruma!
😳Si unaona!?Kwani wanawake wanahuruma?
Pole, ila nilicho jifunza ni kwamba jambo la kubeba mimba mimba na kujifungua linaweza kubadilisha hali ya Afya ya mtu husika, kwa sababu ya nguvu anayo tumia... Mke wangu alikuaga ni mwenye nguvu sana na Afya njema, lakini baada ya mtoto wa kwanza akaanza matatizo ya mgongo na kichwa ni balaa, mtoto wa pili nae baada ya kujifungu na mpaka kuacha kunyonyesha hali imezidi kua mbaya, watoto wako darasa la sita na la kwanza sasa lakini Afya ya mama yao ni mgongo na kichwa kisicho achia, mala kwa mala, tumepima na kupima pasi kuona ugonjwa wowote ktk hospital kubwa na vipimo vikubwa, yaani kwa sasa imekua kama wanaojifungua kwa operation ndo wanakua salama zaidi kuliko anaye Sukuma mtoto.
Pole, kadri siku zinavyo kwenda utakuja kukaa sawa, na wakati mwingine madawa ya hospital usitumie sana maana yatakukazia sumu tu, tumia miti shamba maana haina madhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya nioneee huruma basi namimi😳Si unaona!?
# 5 na 7 ni sahihiNi vyema kutambua kuwa wakati wa ujauzito, mwili hutoa vichocheo vya kulainisha/relax joints.
Viungo vyote huweza kulainika na kulinhana na mwenendo wa mhusika unaweza kupata mashira kulingana na :
1: uzito wa mtoto
2: wakati wa kunyonyesha/makao
3: madhira wakati wa kusukuma mtoto
Hivyo, umakini unahitajika wakati huu wote na mazoezi yoyote atakayopitia, kwani ni rahiai kupata ahida kutokama na mobility/wepesi wa jointi kufanya zunguko.
Naomba umuulize mkeo vitu vifuatavyo, mambo haya humsababishia kichwa chake kuuma?
1: kukaa na njaa muda mrefu
2: kupata hedhi
3: akikasirika
5: akisafiri mkoa mmoja kwenda mwingine
6: akikosa usingizi wa kutosha
7: akikaa sehemu yenye kelele
8: akitembea kwenye mwanga mkali