Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Ni-Mp namba yake nikupunguzie mzigo mkuu.Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wa nne.
Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last week end kakanitafuta tuka kaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.
Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.
Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Pole sana kwa usumbufu ulioupata, naahidi kukusababishia utulivu!!