Nimepata mchepuko mwenye umri wa miaka 21; nafanyaje nisiendelee nao?

Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.

Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.

Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.

Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Ka block tu mkuu hakuna namna
 
Ndio mana mimi nitabakia niki kumbushia vijana wenzangu hembu tuache mishe za K tupige kazi kwanza. Mtoto wa 21 years na BRO wa 48 years alafu bro anataka mpangishia chumba bado hela ya matumizi ampe. Hivi kesho wewe msela huna misha bado za kueleweka umpende huyu mtoto kwa nia njema kabisa ya kutaka kuoa utawezana nae? Jibu ni No ata taka umtoe laki tano za matumizi kwa wiki kama bro na wewe huna kitu ina kuwa maumivu tayari.
Conclusion wanao haribu hawa kina dada ni MaBro. Bro ana ndoa ana mke ana watoto tena wanawez kuwa wakike bado kidem chetu mtaani ana kimiliki ana kipa hela kidem kina tudharau wakati uchumi wa kati umekaba hata ajira hamna. Sisi tuna endelea kudhalilika kila siku na wanawake wanasema no money no honey hela tuna toa wapi sisi, mfumo wa mapenzi ya kweli umeharibiwa na mabro na hela zenu mna taka kumiliki kila kitu na mabavu ya pesa zenu sisi wadogo tunaishi vipi? Ndio mana nawasihi wenzngu tuka pambane tu kwanza tutarudi baadae tukiwa kwenye maprado, teza, subenga na crown.
 
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeee tafuta wa saiz yako uwez kosa
 
Mmmh haka katoto katatumaliza wazee wake na mimi kaniitaga bae kananiambia nikafungulie makeup studio, ila nimeamua kukalipia ada QT nakushauri na wewe usikapangishie chumba nenda kakalipie hostel
 
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeee tafuta wa saiz yako uwez kosa
Uko sawa kabisa. Ila point ni hizo kamba zenu ndio zina leta madhara kwa jamii. wasichana wengi wameharibika kwa kulelewa hawana hari ya kufanyakazi kwa bidii wakiamini kuna wanaume wana watunza.
 
Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.

Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.

Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.

Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Nfanye awe mke wa pili
 
Ndio mana mimi nitabakia niki kumbushia vijana wenzangu hembu tuache mishe za K tupige kazi kwanza. Mtoto wa 21 years na BRO wa 48 years alafu bro anataka mpangishia chumba bado hela ya matumizi ampe. Hivi kesho wewe msela huna misha bado za kueleweka umpende huyu mtoto kwa nia njema kabisa ya kutaka kuoa utawezana nae? Jibu ni No ata taka umtoe laki tano za matumizi kwa wiki kama bro na wewe huna kitu ina kuwa maumivu tayari.
Conclusion wanao haribu hawa kina dada ni MaBro. Bro ana ndoa ana mke ana watoto tena wanawez kuwa wakike bado kidem chetu mtaani ana kimiliki ana kipa hela kidem kina tudharau wakati uchumi wa kati umekaba hata ajira hamna. Sisi tuna endelea kudhalilika kila siku na wanawake wanasema no money no honey hela tuna toa wapi sisi, mfumo wa mapenzi ya kweli umeharibiwa na mabro na hela zenu mna taka kumiliki kila kitu na mabavu ya pesa zenu sisi wadogo tunaishi vipi? Ndio mana nawasihi wenzngu tuka pambane tu kwanza tutarudi baadae tukiwa kwenye maprado, teza, subenga na crown.

Tafuta pesa upunguze kujieleza mlamu.
 
Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.

Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.

Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.

Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Game Changer and The Entertainer.
 
Simpo tu, mwambie huwezi kudate nae ni mdg sanaa. Kama unahela za kukapangishia au kutoka nako out ni bora uzitumie kuwekeza kwa wanao maana wote hatuijui kesho yetu.
Kwa umri huo tulia ulee familia, wajengee watoto wako maono mazuri bro.
 
Tafuta pesa upunguze kujieleza mlamu.
Mkuu mimi sijilaumu maana na pambana na uchumi wa kati na hurumia vijana wenzangu wanapamban kweli kweli na K vili ona malalamiko kila siku. Sasa hivi kwenye kikao chao wamekubaliana matumizi ya chini kwa wiki utume 500k je wangapi watamudu? kama wewe unayo hembu waza hawa wenye hela za bundle na bajaj wataishi kwa hali gani? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Yaan nikiona watu walio ndani ya mahusiano ya kimapenzi, wamepishana umri kuanzia 10yrs, nawadharau na kuwashusha vyeo vyote. Khaaaaaaaah
 
Mzeee mpangishie tu alaf sisi wa 30s tutakuja kumnunulia umeme wa luku huku tukiwa tumekaa sebleni kwake tumekunja nne tunaangalia clouds tv tunasubiri msosi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Simpo tu, mwambie huwezi kudate nae ni mdg sanaa. Kama unahela za kukapangishia au kutoka nako out ni bora uzitumie kuwekeza kwa wanao maana wote hatuijui kesho yetu.
Kwa umri huo tulia ulee familia, wajengee watoto wako maono mazuri bro.

Pale Mzee wa miaka 48 anashauriwa na mvulana!
 
Daaa, sawa mkuu. Ila hata katoto kadg kanaweza kukupa ushauri profitable mtu mzima wa miaka 35. Usipende kupuuza ushauri. Uchukue utafakari kabla hujaufanyia maamzi
 
Back
Top Bottom