Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,827
- 1,655
Ka block tu mkuu hakuna namnaNina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.
Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.
Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.
Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeee tafuta wa saiz yako uwez kosaNdio mana mimi nitabakia niki kumbushia vijana wenzangu hembu tuache mishe za K tupige kazi kwanza. Mtoto wa 21 years na BRO wa 48 years alafu bro anataka mpangishia chumba bado hela ya matumizi ampe. Hivi kesho wewe msela huna misha bado za kueleweka umpende huyu mtoto kwa nia njema kabisa ya kutaka kuoa utawezana nae? Jibu ni No ata taka umtoe laki tano za matumizi kwa wiki kama bro na wewe huna kitu ina kuwa maumivu tayari.
Conclusion wanao haribu hawa kina dada ni MaBro. Bro ana ndoa ana mke ana watoto tena wanawez kuwa wakike bado kidem chetu mtaani ana kimiliki ana kipa hela kidem kina tudharau wakati uchumi wa kati umekaba hata ajira hamna. Sisi tuna endelea kudhalilika kila siku na wanawake wanasema no money no honey hela tuna toa wapi sisi, mfumo wa mapenzi ya kweli umeharibiwa na mabro na hela zenu mna taka kumiliki kila kitu na mabavu ya pesa zenu sisi wadogo tunaishi vipi? Ndio mana nawasihi wenzngu tuka pambane tu kwanza tutarudi baadae tukiwa kwenye maprado, teza, subenga na crown.
Uko sawa kabisa. Ila point ni hizo kamba zenu ndio zina leta madhara kwa jamii. wasichana wengi wameharibika kwa kulelewa hawana hari ya kufanyakazi kwa bidii wakiamini kuna wanaume wana watunza.Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeee tafuta wa saiz yako uwez kosa
Nfanye awe mke wa piliNina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.
Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.
Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.
Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Ndio mana mimi nitabakia niki kumbushia vijana wenzangu hembu tuache mishe za K tupige kazi kwanza. Mtoto wa 21 years na BRO wa 48 years alafu bro anataka mpangishia chumba bado hela ya matumizi ampe. Hivi kesho wewe msela huna misha bado za kueleweka umpende huyu mtoto kwa nia njema kabisa ya kutaka kuoa utawezana nae? Jibu ni No ata taka umtoe laki tano za matumizi kwa wiki kama bro na wewe huna kitu ina kuwa maumivu tayari.
Conclusion wanao haribu hawa kina dada ni MaBro. Bro ana ndoa ana mke ana watoto tena wanawez kuwa wakike bado kidem chetu mtaani ana kimiliki ana kipa hela kidem kina tudharau wakati uchumi wa kati umekaba hata ajira hamna. Sisi tuna endelea kudhalilika kila siku na wanawake wanasema no money no honey hela tuna toa wapi sisi, mfumo wa mapenzi ya kweli umeharibiwa na mabro na hela zenu mna taka kumiliki kila kitu na mabavu ya pesa zenu sisi wadogo tunaishi vipi? Ndio mana nawasihi wenzngu tuka pambane tu kwanza tutarudi baadae tukiwa kwenye maprado, teza, subenga na crown.
Game Changer and The Entertainer.Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne.
Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie.
Kwa kweli mimi naona ni kadogo hata kwa mtoto wangu ila kenyewe kanapambana kuniita bae sijui na week kanataka tutoke.
Najiuliza nakaachaje kabla hatujaendelea mbali zaidi? Au nikale halafu nisepe? Au nikaambie tu ukweli siwezi kuwa na wewe!!!
Mkuu mimi sijilaumu maana na pambana na uchumi wa kati na hurumia vijana wenzangu wanapamban kweli kweli na K vili ona malalamiko kila siku. Sasa hivi kwenye kikao chao wamekubaliana matumizi ya chini kwa wiki utume 500k je wangapi watamudu? kama wewe unayo hembu waza hawa wenye hela za bundle na bajaj wataishi kwa hali gani? π π π π π π πTafuta pesa upunguze kujieleza mlamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahMzeee mpangishie tu alaf sisi wa 30s tutakuja kumnunulia umeme wa luku huku tukiwa tumekaa sebleni kwake tumekunja nne tunaangalia clouds tv tunasubiri msosi
Simpo tu, mwambie huwezi kudate nae ni mdg sanaa. Kama unahela za kukapangishia au kutoka nako out ni bora uzitumie kuwekeza kwa wanao maana wote hatuijui kesho yetu.
Kwa umri huo tulia ulee familia, wajengee watoto wako maono mazuri bro.
Wee babuh acha uchonganishi lolFanya yote lakini epuka kumpangishia
Mkuu kabla hujakablock nipe namba ya PM chaap....Kabisa aisee
Kameshaamka na mimi huku eti baby umeshakunywa chai?? Naka block
Daaa, sawa mkuu. Ila hata katoto kadg kanaweza kukupa ushauri profitable mtu mzima wa miaka 35. Usipende kupuuza ushauri. Uchukue utafakari kabla hujaufanyia maamziPale Mzee wa miaka 48 anashauriwa na mvulana!