miviga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2024
- 1,721
- 6,037
Eeh ndo ivo, kijiji nilichokulia, kulikua na jamaa familia yao kidogo ilikua well off af alikua na geto, yule muuni kila msichana anaechipukia alipita nae yeye, mpaka viniji vya jiraniabeee,, naomba ufafanuzi tafadhal