Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Eeh ndo ivo, kijiji nilichokulia, kulikua na jamaa familia yao kidogo ilikua well off af alikua na geto, yule muuni kila msichana anaechipukia alipita nae yeye, mpaka viniji vya jirani
aseeee kwahiyo mlimuacha tu apite na mademu zenu kisa vijisent vya huyo jamaa,,ooh poor nyie😂🙌🏾
 
Tatizo ni Kondoa
 
Wakuu mnasemaga humu kama dem sio bikra ukioa unakua umeoa mke wa mtu…. KWAHIYO NIWEKE NDAN HII MALI AU NIACHE TU…. Maomben ushaur wa mwisho nyie ndo mnajua mambo Mengi watu wa hum nawakubal sana akili kubwa
 
Kama humtaki nipe mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…