Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Nimepata mchumba bikra, anafaa kwa ndoa?

Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Kwanza kabisa niseme hongera, pia pole.
Kwa utaalamu wangu wa saikolojia za mabinti wengi. Huyo atakusumbua.

Nina sababu Tatu.
1) Sio Rika lako, 19 kwa 30.
Hapa usipokuwa EXPERT kwenye ngono. Utamuharibu saikolojia. Utamtoa bikra atakuchukia kwa maumivu.
2) Marafiki
Je utakubali siku moja awe na marafiki walioonja dick nyingi? Je wakipiga stori za utamu wa uume zingine unadhani hatotamani kuzishuhudia?
3) Uzoefu wa mapenzi
Kila mmoja anafahamu kuwa mwanamke mshamba anaboa.

Acha niishie hapa 🙏
 
Kiukweli kabisa hata mimi nikipata wa hivyo, itabidi niingie kwenye kikao kikali sana na wajumbe wa Chama changu cha Kataa Ndoa kuweza kuangazia Mustakabali wa Uanachama wangu.

Yani ikiwezekana nipewe Uanachama Pacha.... Niwe Kataa ndoa na pia niwe ndoani kimitego mitego.
😂 je utampata wapi?
 
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana

Kwakua ni binti mdogo na hajui mambo ya wanaume nimeona kama anafaa nimchukue au nimuache nichukue mtu mzima tu?

Najiuliza kwakua bado ni mdogo Labda baadae atakuja kunisumbua kiukwel npo kwenye mawazo makali sana.. Naomben ushaur nimchukue au nimuache nitafute mtu mzima mwenzangu.

Mimi Nina 30 kwa sasa
Toa bikra zote mkuu. Usiache hata moja.
 
Back
Top Bottom