Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
skia hii, jana nilikuwa napewa stori na dada mmoja anakaribiwa kuolewa

nikamwuliza amempataje mpenzi wake

akanijibu

Dada: Nimempata kwenye morning and evening glory nilikuwa naenda kila siku kanisani, kumbe huyo kaka akaniona akanipenda akawa anapima frequency ya kuja kanisani kama na beep au namaanisha

basi baada ya mwaka mmoja akani approach asijue kuwa niko singo mimi tena kwa muda wa miaka 3

tuka exchange namba, tukaanza mawasiliano, baada ya mwaka akaomba wazee wake waje akutane na wazazi wangu!

Money Penny: Kwahiyo hamjazini mwaka wote huo?

Dada: Hatujazini boss hata ku kiss! nilimwambia nimetoka kwenye very painfull relationship, nimekaa miaka 3 sitaki kusikia kuzini mpaka kwenye ndoa. Ni kweli yale maombi ya morning na evening glory yamenisaidia sana, nilikuwa naenda kwa Bwana Yesu, Bwnaa Yesu akanipa Bwana Mume (My Lord)!

Money Penny: Haya haya sasa! nyie wenzetu mnaendaga wapi kupata waume?

jamani muende kanisani, ohooo! Yesu anatoa waume kama mvua huku Morning Glory!, ila usiende kudanga tu!
 
Hivi kwa sasa kupata mchumba wa kiume mwenye nia ya kuoa ni big deal hivyo?

Au hizi habari ni anxiety ya kawaida ya wanawake tu?
 
Hivi kwa sasa kupata mchumba wa kiume mwenye nia ya kuoa ni big deal hivyo?

Au hizi habari ni anxiety ya kawaida ya wanawake tu?
me nadhani kabla hujahukumu, ungerudia kusoma uzi, ameeleza vizuri kuwa hayuko desperate!
 


Hiyo ni hewa tu, kaend kwenye maombi tafuta mume, Mume naye kaenda huko anasema huyu mtii na anapenda Mungu, kumbe targeted Market..
 
Mbaya ni kitu kilichopo nyuma ya pazia mkuu, social gatherings zimepekea kuwa kimbilio la watu waliopo desperate kupata mchumba/ndoa, na tatizo huja baada ya wao kupata walichotaka wanarudi kwenye tabia ya awali.
sasa yeye kasema amepewa na Yesu sio society?!
vp uko na makasiriko juu ya hizi ibada au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…