Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Kule mavazi ya kikahaba huku umepata mchumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujambo kabisa karibu sana[emoji1787]stendi hawajambo?
UMEHAMIA STENDI YA WAP!?Hatujambo kabisa karibu sana[emoji1787]
KAZI IENDELEEE!Kule mavazi ya kikahaba huku umepata mchumba
Mashoga wapo ila watu wanaolewa kila siku kama kawaida mkuu.Mimi niko mbali na nyumbani na sijarudi kitambo, hivyo sikutaka kufanya ujuaji ambao sina, nikataka kuuliza waliopo kupata uhalisia mzuri wanieleweshe zaidi.
Na uzuri haya mengine unaweza kuwa na majibu mawili tofauti kutoka kwa watu wawili, na yote yakawa sawa kutegemea na hali zao.
Uongo huo uongo.watu wameolewa na miaka 38, 48, 53, 60, 70 itakuwa 30?
Wala sina utumishi wowote ila naongea katika uhalisia, nilikua kwenye kikundi cha dini wakati fulani, kwa kipindi kile nilishuhudia ndoa kama sita hivi ingawa hao waoaji na waolewaji kidogo ya dunia waliyamaliza ndio wakaingia kanisani .Amina mtumishi
achana na huyu tapeli father-xmas anajifanya mtoto wa mjini kumbe kuku tu la kuzimu!
sawa sawa!Wala sina utumishi wowote ila naongea katika uhalisia, nilikua kwenye kikundi cha dini wakati fulani, kwa kipindi kile nilishuhudia ndoa kama sita hivi ingawa hao waoaji na waolewaji kidogo ya dunia waliyamaliza ndio wakaingia kanisani .
Bahati nzuri huwa wakuwa na mahusiano mazuri yenye amani na utulivu +amani.
Kwa sasa hivi kijana anayetaka kuona hafikirii kukutana na mwanamke kwenye baa au clabu au kwenye mitandao au barabarani na pengine hata kijijini kwao ila kanisani au kwenye ishu za kidini huwa anapata wazo la kuoa.
anatoa matusi bwana, sio maadili hayo! huyo ako na afya ya akili!Mwache bwana atoe maoni yake, hii si hadithi tu.
Sir Midabwada njoo chukua mbwa ananitukana!Uongo huo uongo.
Huo ni uongo😬.
48 53 70 wanaolewa wakafanyaje mkuu tupumzishe
Zoea tu, ndio jf ya sasa!anatoa matusi bwana, sio maadili hayo! huyo ako na afya ya akili!
sooo unclassy!Zoea tu, ndio jf ya sasa!
Asante kwa hekima mkuuMwache bwana atoe maoni yake, hii si hadithi tu.
Wakishaanza maisha yao ya ndoa baada ya miezi mitatu aje kukupa mrejesho kumbuka kuna pretenders.Morning and Evening glory.
Haya
Nimekutukana wapi mkuu!?Sir Midabwada njoo chukua mbwa ananitukana!
sasa pretenders amekaa nae mwaka mmoja kuna pretender wa nini sasa hapo?Wakishaanza maisha yao ya ndoa baada ya miezi mitatu aje kukupa mrejesho kumbuka kuna pretenders.
sasa unaogopa nini baada ya wanaume wenzio kujaNimekutukana wapi mkuu!?
Binadamu wa miaka 70 anaolewa ili akafanye nini kwenye ndoa?
Kwanza anaolewa na nani?
Jiheshimu mkuu!
Onyesha tusi moja nililotukana.anatoa matusi bwana, sio maadili hayo! huyo ako na afya ya akili!