Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #101
Uwe na Amani ya bwanaIla mleta mada unanichanganya,Leo tu nimekutana na avatar tatu tofauti una uhakika hawajahack account Yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na Amani ya bwanaIla mleta mada unanichanganya,Leo tu nimekutana na avatar tatu tofauti una uhakika hawajahack account Yako?
Yeye asie na dhambi awe WA Kwanza kurusha jiweOgopa sana mwanamke aliyetoka kwenye ukahaba akaingia kanisani kutafuta mume, ogopa sana.
Utakuwa na Afya ya akiliNdiyo na mimi nashangaa bidada anaanzisha uzi baada ya uzi kwenye maada hii, kama yupo obsessed vile.
Yani kuolewa kunakuwa kama Nobel prize.
I am like, what's going on here?
Tuna tatizo hili au tunajitengenezea anxiety tu?
Lakini, dada mkubwa ujue mwanamke mmoja anaweza kuwa amesimama vizuri, ana kazi/ biashara nzuri, amesoma vizuri, ana family support structure nzuri, watu wa familia yake wamesoma vizuri, wamesafiri sehemu mbalimbali duniani na kuona watu tofauti wanavyoishi, hawana pressure za kibongo za kutaka mtu aolewe.
Kwa mwanamke kama huyo, anaweza kusema suala la kuolewa Tanzania liko overrated, na akawa sahihi.
Sasa, hapo hapo umkute mwenzangunamie Maimuna pangu pakavu tia mchuzi, hana elimu, hana family support, tena inawezekana yeye ndiye anaangaliwa na family kutoa support, hana kazi/biashara, hana ujanja wowote zaidi ya kudanga.
Huyo ukimwambia suala la kuolewa Tanzania liko overrated atakuona wewe mchawi, mnaweza kupigana.
Kuwa na afya ya akili ni jambo zuri.Utakuwa na Afya ya akili
Ushaambiwa hii NI hadithi huelewi tu
hivyo unashauri mabinti wasiolewe sio??Suala la kuolewa Tanzania liko overrated 🤠
Huyo dada yao usimchimbe hivyo.hivyo unashauri mabinti wasiolewe sio??
Nimeusoma. Na wala sijasema yuko desperate. Hakuna niliposema hilo.
Lakini hata hivyo, mtu kusema hayuko desperate haina maana kwamba hayuko desperate.
Nyuzi hizi, wingi wake, mnavyoulizanaulizana, mnatuletea maswali.
Hivi, kumpata mchumba wa kiume kwa sasa ni kitu fulani big deal hivyo?
Au inakuwaje mpaka tuone habari hizi zinakuwa front sana?
Wanawake wanakwenda makanisani sana, wengine ni kama wanahamia huko, wanawake wanaroga sana.
Kutaka kuolewa tu.
Tatizo ni nini?
Hakuna waoaji?
Wanawake wenyewe wana anxiety tu?
Mbona hivi?
Woyooooooooooooooohivyo unashauri mabinti wasiolewe sio??
kwani lazima kuoa mzee si tushakataa mambo ya 'mwili mmoja'Huyo dada yao usimchimbe hivyo.
Akiamua kuwashauri hivyo tutakosa pa kuoa.
Akikuwekea ribit kwenye kikao cha mahari huyo, shughuli yake pevu kumtoa mstarini kazi hiyo naijua mwenyewe hapa yalivyonikuta kwao [emoji28][emoji28].
Mimi niko mbali na nyumbani na sijarudi kitambo, hivyo sikutaka kufanya ujuaji ambao sina, nikataka kuuliza waliopo kupata uhalisia mzuri wanieleweshe zaidi.Kwani tatizo huoni au unafanya kusudi
Hujui kama dunia kuna mapenzi ya jinsia moja
Hujui kama wanaume wamekuwa wanawake hufahamu hilo
Mambo yamebadilika waoaji hakunaaaaa waoewaji wamejaa na wanaume siku hizi wanaolewa lazima tuchangamkie fursa tusije kufa single hatuna hata wakumtolea hasira kitandani
Mkuu,kwani lazima kuoa mzee si tushakataa mambo ya 'mwili mmoja'
🤦🤦🤦🤦🤦Uwe na Amani ya bwana
Hapana,waolewe....ila jamii isione kuolewa ndio kila kitu kwenye maishahivyo unashauri mabinti wasiolewe sio??
🤣🤣🤣🤣 Shemeji jamani,Naomba usiwatishe waoaji jamani....Huyo dada yao usimchimbe hivyo.
Akiamua kuwashauri hivyo tutakosa pa kuoa.
Akikuwekea ribit kwenye kikao cha mahari huyo, shughuli yake pevu kumtoa mstarini kazi hiyo naijua mwenyewe hapa yalivyonikuta kwao [emoji28][emoji28].
Siwatishi, nawatahadharisha tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shemeji jamani,Naomba usiwatishe waoaji jamani....
😅😅😅😅UmeniwezaSiwatishi, nawatahadharisha tu.
Wakati wewe tayari upo kwenye ndoa yako umetulia tuliiii...😁😁😁Suala la kuolewa Tanzania liko overrated 🤠
Naona hapo keki siku yenu ya harusi ilikuwa sio ya nchi hii😊😊😊😊Wakati wewe tayari upo kwenye ndoa yako umetulia tuliiii...😁😁😁
mh! kuhusu mwamposa sijui kwakeli mimi nasali lutheranNimesema 30+...
Na ukiwa na pesa kuna wanaume wasiojitambua ambao wako tayari kuoa hata mishangazi ya miaka miaka 35, 38, 48, 53 na hivyo viajuza vyako vya miaka 60, 70 hata 150!
Kwa Mwamposa na huko kwingine kwa mitume na manabii wamejazana wa miaka 30, 33, 35, 38, 48, 53, 60, 70....