Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa

Jesus is cheap public therapy for the hoi polloi.

A coping mechanism for the masses.

You are very much entitled to that pie in the sky option. It is part of your human rights.
Kabla siojajibu english yako ni broken
 
Umeshindwa kuonesha hiyo broken English.

Kwa sababu haipo, unanizushia tu.

Kwa uzushi huu huko kanisani tutafika kweli?

Maana naona unamtaja sana Yesu, kumbe mzushi tu.
Yesu sio mzushi lakini?
 
Jesus is cheap public therapy for the hoi polloi.

A coping mechanism for the masses.

You are very much entitled to that pie in the sky option. It is part of your human rights.
A coping mechanism for the masses. - sasa hii ndio nini?

Jesus is cheap public therapy for the hoi polloi- hapa umeandika nini sasa!
 
A coping mechanism for the masses. - sasa hii ndio nini?
A coping mechanism for the masses.

Nioneshe kosa liko wapi.

Weka parts of speech, grammar, spelling, hiki hakitakiwi kuwa hivi, hiki hakitakiwi kuwa hapa, kwa sababu hii.

Tuone utanifundisha mimi au mimi ndiye nitakufundisha wewe.
 
Back
Top Bottom