Nimekuja mkuu. Huku Amefika Maisha Yampe Nini Tena. Sijajua Kabila lake Atumwagie Radhi Hapa. Huko Migombani Shamrashamra za Kuchinja Zinaendelea Kina Mama Wanamenya Ndizi, Bia,Mbege ni ya Kushato Mapochopocho kama yote.Karibu Mkwe Uwe na Adabu Maana Kizazi cha elfu2 ni Kisanga
Bwashe wa-siha wana shida gani?Karibu meku, wa marangu hawana shida pamoja na warombo na wachaga wa uru
Balaaa ni wakibosho, siha na adui kuu Machame
Hongera , ni vigumu Sana kumfahamu mwenzio kwa kupitia kabila lake, kila mmoja ana malezi na makuzi yake binafsi. Naamini mmekuwa kwenye mahusiano muda WA kutosha hivyo umeweza kumsoma mwenzio.Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Hivi anaeolewa nae uwa anachukua jiko eh?Nimelelewa na mama Mmarangu..
Wana roho nzuri, wazuri na Wana shape, weupe (mie Msukuma)!
Chukuwa JIKO WALAHI!
Nilifika marangu pako poa sana, mazingira kama ulaya na mpangilio mzuri wa nyumba bora kabisa ,sasa sijui mtoa maoni alimaanisha nini?Ushahidi uko wapi? Angeniambia wengi ni waongoza watalii ningekubali 😅😅😅😅
Anataka kujichanganya 😅Nilifika marangu pako poa sana, mazingira kama ulaya na mpangilio mzuri wa nyumba bora kabisa ,sasa sijui mtoa maoni alimaanisha nini?
Bikirah latifah!Skuizi wakabila lako utampata wapi kila mahali kumeoza
Bwashee Noah ScribeKaribu meku, wa marangu hawana shida pamoja na warombo na wachaga wa uru
Balaaa ni wakibosho, siha na adui kuu Machame
Ila familia ya marealle iko vizuri hasa huyo wa marangu hapa.....Siunajua tena mangi Marealle alituonyeshea njia ya shule mapema.
Utulie kwenye ndoa ili ugundue nini mtoto mzuri kama wewe 😊Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Umeguswa mnama 😂Bwashe wa-siha wana shida gani?
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
nipo hapa wa kabila lako 🤣 🤣Skuizi wakabila lako utampata wapi kila mahali kumeoza