Nimepata mchumba Mchaga wa marangu nijulisheni tabia zao

Yani tabia za mtu mmoja zimaanishe kabila zima au kabila zima liwe na tabia za huyo binti mmoja? Elimu yetu ina shida sana wandugu
based on my experience, mingling with victims, my romantic relationship na hao subjects, nina sample size ya kutosha kufikia a negative conclusion scientifically, au mpaka niwe nime publish kwenye majarida?😀
 
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
wanakula kuku na mayai na dada zako wote wataliwa na mume wako

majirani wote atawalamba lakini zaidi dada wa kazi hatopona ki ufupi jiandae

Ukome kuomba ushauri wa NDOA mtandaoni,ushakubali kuolewa nenda kapambane
 
Hivi unaakili kweli..?
Watu wa tumbo moja tu hutofautiana tabia ijekuwa watu wanaotokea Marangu.
Kama umeshindwa kufahamu jambo dogo hivi na kulileta mtandaoni.
Je, changamoto za ndoa utazimudu kweli au ndio itakua kila kitu kuanika mitandaoni.
Ndugu ndoa ni kwa watu wenye akili timamu tu.
 
Bina
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
Hakuna tabia exclusive sa sehemu fulani pekee. Kuna Kila sampuli ya binadamu, wazuri, wabaya. Tabia ya kuliweka kabila la wachaga kwenye box ni ushamba. Wachaga wote wanafanana. Vijembe ni husda tu.
 
Natarajiwa kuolewa jamani nimempta mwanaume mmarangu si vibaya nikijua tabia zao ili nikatulie kwenye.ndoa jamani
As long as ni mchagga wewe umeula , haijalishi ametoka Marangu, Siha, Machame,Rombo,Kibosho,Old Moshi n.k
 
Kila la kheri mkuu! Ndoa ni ndoa tu.
Kinachotakiwa ni kuzingatia kiapo,"Katika shida na raha tutakuwa pamoja mpaka kifo kitutenganisha"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…