DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 853
- 1,040
based on my experience, mingling with victims, my romantic relationship na hao subjects, nina sample size ya kutosha kufikia a negative conclusion scientifically, au mpaka niwe nime publish kwenye majarida?😀Yani tabia za mtu mmoja zimaanishe kabila zima au kabila zima liwe na tabia za huyo binti mmoja? Elimu yetu ina shida sana wandugu