Kwanini sasa upangiwe kitu xha kufanya?Ni makampuni sio jamaa. Ninamakampuni kibao yanayotoa fund. Lazima tukubali kujifunza kwa mambo ambayo hatuyajui ndipo tunaweza kuendelea. Funding zipo ila vijana hatuna uwezo wa kuziaccess
Huwa hawatoi fund kwenye miradi midogo midogo. Hiyo ndio maana yake.Kwanini sasa upangiwe kitu xha kufanya?
Kama weee uwezo wako ni mradi wa 5B why atake mkubwa zaidi?
Je waweza meneji?
Acha mawazo ya kitoto boss. Hao wanaijeria mimi nimeishi nao. Kubali kujifunza kutoka kwa wengine ili uelewe wao wanafanyaje.Hawa watakua ni wale matapeli wa Nigeria ambao hutuma email kuwa Wana pesa wanatafuta pa kuwekeza
Ahsante sana kwa mawazo mazuri boss. Nipo makini sana watu wanaotoa fund mm nawajua vizuri wala sio matapeli. Hawana gharama zozote zile.Binafsi nashauri ungeanza na moja kati ya hizoizo projects ulizoziandikia proposal, maana framework yote yw project hizo ipo kichwani mwako hivyo ni rahisi kuzitekeleza kuliko kitu kingine kipya ambacho ni wazo la mtu mwingine!
Pia ni vema kukumbuka kuwa kwa project au biashara ngeni, kadri unavoanza na mtaji mkubwa ndivyo kiwango cha risk ya hasara kinavyoongezeka!
Hivyo ni bora kuanza na project ya mtaji mdogo then ukaikuza na kuiboresha!
WARNING:
Kuwa macho kuna matapeli wa mtandaoni, anaweza kukufanya ukauza nyumba hivihivi! Atakwambia mara contact the lawyor, anakupa na email yake, mara tena atakwambia contact the bank CEO anakupa na email yake kumbe huko kote ni yeye mwenyewe! Ukishajichanganya ukarusha mzigo tu anakublock, wamelizwa wengi sana na wahalifu hao!
Anaenda pigwa mtu hapa.Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.
Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.
Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.
Nipo hapa kupata mawazo yenu
Ahsanteni sana
Ahsante kwa ushauri mzuri. Wewe endelea kushangaa 😋😋😋. Ni vyema ungetulia chini na kuuliza sisi tunafanyaje kufanya hivyo.Anaenda pigwa mtu hapa.
Mtu mwenye uwezo wa kuwekeza bil116 hawez kuwa mweupe kias hko.Ahsante kwa ushauri mzuri. Wewe endelea kushangaa [emoji39][emoji39][emoji39]. Ni vyema ungetulia chini na kuuliza sisi tunafanyaje kufanya hivyo.
Sawa rafiki, ila billioni 116 ni namba tu. Ukiivunja unaweza kuta hata mia hugusi.Mtu mwenye uwezo wa kuwekeza bil116 hawez kuwa mweupe kias hko.
Mtu mwenye uwezo wa kuwekeza bil116 huwa kwenye emailz zake ana mawazo ya biashara zaid ya 1000 na mengne hajafungua kusoma.. ambayo watu wanamtumia kila kukicha.
Kama wew ni mwanamke bas huyo mtu mwisho wa siku ataomba gemu tu. Anataka muendelee kuwasiliana aombe.
Kama ni mwanaume bas anataka kukufanyia udalali ili yeye ndio akatumie wazo lako hilo mahala fulan
Ni hao tunamwambia anajibu shit ila mda utasema urudi kutoa mrejeshoSio wale Wafadhili wa kwenye email ..soon kuna mtu ana pigwa na kitu kizito
Boss tukitumia uwezo wetu vizuri kutafuta maisha ni rahisi sana. Watu wote wanaofanikiwa nikwasababu wanatumia uwezo wao vizuri. Kama hatufanikiwi maana yake bado hatuna uwezo au hatutumii uwezo wetu vizuri. Ukitazama mchezo wa sarakasi mtu akiwa anaruka unaogopa unasema mimi siwezi. Huwezi kwasababu hujajifunza hivyo huna uwezo. Hivyo inabidi kukubaliana na hali kisha kukaa chini na kukubali kufundishwa.Sawa najua unajibu negative lakini tambua maisha sio Rahisi kihivyo pia tambua always maisha ni process
Tuache kuwaza mawazo mabaya bali tuendelee kutafuta wafadhili wapo. Wafadhili wapo vijana tujitume tutafute fursa.Ni hao tunamwambia anajibu shit ila mda utasema urudi kutoa mrejesho
Wafadhili wapo ila sio for nothing pasipo writeup yoyote pesa sio kitu chepesi ndugu na ukiona mahali pesa inapatikana kirahisi hiyo ni dalili Moja wapo ya utapeliTuache kuwaza mawazo mabaya bali tuendelee kutafuta wafadhili wapo. Wafadhili wapo vijana tujitume tutafute fursa.
Haya ni moja ya mawazo yanayozuia vijana kuendelea hapa Tanzania. Akon mwenyewe anajenga mji sio pesa zake kapewa ufadhili. Vijana tutafute kama hatuwezi tuombe ushauri maana hatulingani.Wafadhili wapo ila sio for nothing pasipo writeup yoyote pesa sio kitu chepesi ndugu na ukiona mahali pesa inapatikana kirahisi hiyo ni dalili Moja wapo ya utapeli
Ni swala la muda tu ila ukifanikiwa uje utupe mrejeshoHaya ni moja ya mawazo yanayozuia vijana kuendelea hapa Tanzania. Akon mwenyewe anajenga mji sio pesa zake kapewa ufadhili. Vijana tutafute kama hatuwezi tuombe ushauri maana hatulingani.
Ni bora ungeomba ushauri boss ninawapataje hao wafadhili kuliko kuwaza mambo ya utapeli.Ni swala la muda tu ila ukifanikiwa uje utupe mrejesho
Hata siwahitaji hakuna maisha mepesi na hakuna pesa Rahisi pia maisha ni process ila nakutakia Kila la heriNi bora ungeomba ushauri boss ninawapataje hao wafadhili kuliko kuwaza mambo ya utapeli.