Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

IMG_20221129_134915.png

Hili wazo la kuanzishwa kiwanda cha kutengeneza solar panels, nilitoa hapa kwenye uzi huu ila naona wenzetu wameshachangamkia fursa kabla yetu. Je ni lini tutajifunza kufanya utekelezaji wa miradi kwa haraka? We always lag behind in every aspect.
 
Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa

Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji" surgical masks/ medical masks"

Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii na kuwa wakala wetu wasiliana nasi 0672883050
 
Mtaji sh ngapi
 
Habari,

Angalau uwe na uwezo wa kuchukua carton 10 kwa mwezi ingawa tunaweza kufanya mazungumzo zaidi kufuatana na mtaji wako na wateja wa eneo lako

Tafadhali wasiliana nasi 0672883050 kwa maelezo zaidi
Carton 10, ni sh ngapi
 
Mpendwa hongera kwa kupata mwekezaji wa maana kama ndivyo. Kuna mdau anauza kiwanda chake kikubwa cha korosho mtwara,karibu nikuunganishe na wadau, thamani ya kiwanda ni zaidi ya 20billion na nitakuunganisha na mdau wa proposal ikiwa itapenda badala ya kuumiza kichwa.
 
Habarini wakuu,

Nina swali zito naombeni majibu yake.

Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.

Je, ni mradi gani mmoja mkubwa ambao unaweza kugharimu Tsh. billioni 116.

Niliandika miradi yangu mitatu. Miwili ya mafuta na gesi. Na mmoja wa mambo ya elimu. Ila imeonekana ni midogo. Imeonekana haifiki hata Tsh billioni 10. Hivyo nimepewa nafasi ya kutafuta mradi mwingine.

Najua hapa kuna wakubwa wenye uwezo wa kuwaza kuliko Mimi.

Nipo hapa kupata mawazo yenu

Ahsanteni sana
Acha unaaa
 
Real estate for safety of investors, peace of mind, return of money and etc.
 
Hizo hela wekeza kwenye fishing industry mkuu utanishukuru kabla miaka mitano haijaisha. Demand ya samaki kwa nchi za ukanda wetu ni kubwa mpaka tunaangaza samaki china.

Nunua fish factory vessel zako then kata vibali anza kuvuna samaki toka baharini.

Fungua kampuni ya manunuzi na usambazaji wa samaki hao. Yaani unavuna samaki ambao hujawapelekea chakula.
Soko likishakua kubwa unakua unapeleka mpaka central Africa na South Africa.

Before that, fanya research ni samaki kiasi gani wanakua imported kwenye bandari za Dar, Zanzibar, Mombasa etc.

Ukifanikiwa usinisahau.

Asante
 
Avue Tuna Fish

Tayari imefanyiwa tafiti za kutosha na masoko yapo wazi nje na ndani
 
Back
Top Bottom