haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Zema nyumba za kishuaNyuma zenye ustaarabu zaidi mgeni akifika tu anapewa dawa yake ya meno na mswaki,,,,yote ni kwa ajili ya kupunguza huu udharirishaji wa kuanikana mitandaoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zema nyumba za kishuaNyuma zenye ustaarabu zaidi mgeni akifika tu anapewa dawa yake ya meno na mswaki,,,,yote ni kwa ajili ya kupunguza huu udharirishaji wa kuanikana mitandaoni.
Wwe lazima utakua mtoto wa kishuwa,tulivyo fundishwa sisi kua dawa inatakiwa kuminywa kunzia chini kwenda juu!!Hadi dawa ya mswaki Ina masharti ya kuminya?[emoji3][emoji3]si inaminywa popote ilimradi inawezekana kuitoa/ kuimaliza yote,masharti Hadi kwenye vitu vidogo vidogo ni ukichaa na umaskini
Ni vyema kuwa mvumilivu kwake ukizngatia background ya seem aliotoka na ukimuelekeza kwa upole tuu ata adopt taratibu itaisha1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa.
2. Dawa ya meno anaminya popote tu.
3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo.
4. Inshort things are mess