Nimepata mgeni yuko rafu sana

Nyuma zenye ustaarabu zaidi mgeni akifika tu anapewa dawa yake ya meno na mswaki,,,,yote ni kwa ajili ya kupunguza huu udharirishaji wa kuanikana mitandaoni.
Zema nyumba za kishua
 
Hadi dawa ya mswaki Ina masharti ya kuminya?[emoji3][emoji3]si inaminywa popote ilimradi inawezekana kuitoa/ kuimaliza yote,masharti Hadi kwenye vitu vidogo vidogo ni ukichaa na umaskini
Wwe lazima utakua mtoto wa kishuwa,tulivyo fundishwa sisi kua dawa inatakiwa kuminywa kunzia chini kwenda juu!!
 
Mgeni ni sawa na mawingi ya mvua,yatatandaaa ikinyesha tu yatapotea.....mvumilie
 
Ni vyema kuwa mvumilivu kwake ukizngatia background ya seem aliotoka na ukimuelekeza kwa upole tuu ata adopt taratibu itaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…