Nimepata mgeni yuko rafu sana

Mwerekeze tu huyo ,mwambie kuna siku ataenda kwa watu wengine wanaishi hivi mpe somo tu kama anaufahamu ataelewa wengine ni maelekezo tu wanaelewa.
 
Kweli zama zimebadilika, dunia ya leo
Mtu anaweza ghasiwa chumbani au kazini akashindwa kumwambia muhusika ila chap kwa haraka anashika simu anapost kwenye mtandao yaliyotokea na watu wanamfariji basi maisha yake yanaendelea bila kumwambia muhusika
 
Hiyo ya No2 huwa inaniudhi sana halafu je kitanda akiamka anatandika? kwenye makochi anapaachaje
 
Wewe jamaa mbona unaonekana li-shamba hivi!!??
Huo ni mtazamo wako, ambao siwezi kukuzuia.

Labda kwa kupitia hayo maneno yangu uliyoniquote, kipi kimepelekea wewe kusema hivyo?
 
Kwa maelezo hayo inaonekana uyo ni mtu wa kijijini,ambae muda wowote atabadilika na kuacha hy tabia.

Sema nilichokigundua ni kua wewe unasumbuliwa na pepo la roho mbaya mkuu
 
Fukuzaaaa
 
Nimecheka sana, nadhani hii inastahili kuunganishwa pale juu😄
 
Level za uelewa wa mambo binadamu tumetofautiana sana, kwa uelewa wake yeye anaamini anachokifanya yupo sahihi, ni wajibu waku kumfundisha kilichosawa kwako na unachohitaji kuliko kuja kureport hapa, haisidiii
 
Kwa maelezo hayo inaonekana uyo ni mtu wa kijijini,ambae muda wowote atabadilika na kuacha hy tabia.

Sema nilichokigundua ni kua wewe unasumbuliwa na pepo la roho mbaya mkuu
Watu wa kijijini ndo wapo hivi kumbe ?
 
Wananawia chombo kimoja wkt wa kula na hata kikombe cha kunywea maji ni kimoja
Unajua kuna vitu vingine ni nature tu ya mtu mkuu.

We kwa jinsi jamaa alivyo elezea
Unazani hapo shida ni ushamba au shida ni ustaarabu wa mtu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…