Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei nafuu kiasi gani? Hio ya juu unanunua kiasi gani?Nilikuwa Naitaji izi za kushika...unazifahamu za Bei nafuu zenye ubora ?
Nimecheki hio maduka ya karibu sijaona mkuu, ngumu kwangu kuverify bei. Ila nyingi za shure na brand nyengine za kichina ni around 80k mpaka 90k.150k
Kupitia uzi huu naomba na mimi msaada wenu wa maelekezo mimi nahitaji mic kwa ajili ya kurekodia matangazo kwa kutumia simu, simu ninayoitumia ni samsung Note9 sijajua pia kama hicho nilichokiwaza kinawezekana naomba mwongozo wenu wataalam wa mambo hayaNimecheki hio maduka ya karibu sijaona mkuu, ngumu kwangu kuverify bei. Ila nyingi za shure na brand nyengine za kichina ni around 80k mpaka 90k.
Na nimegoogle hio mic results zote zinakuja site za kibongo tu, ukakasi unaanzia hapo.
Lavalier mic za design hii huwa zinakubali kwa simuKupitia uzi huu naomba na mimi msaada wenu wa maelekezo mimi nahitaji mic kwa ajili ya kurekodia matangazo kwa kutumia simu, simu ninayoitumia ni samsung Note9 sijajua pia kama hicho nilichokiwaza kinawezekana naomba mwongozo wenu wataalam wa mambo haya
Mkuu mic za kichina huko wanauza 35000 huku naona wanaziuza 80000 mpaka 250000, sasa nilijichanganya nikanunua moja maana mimi nina mic ya mpoland akg ambayo inaingia kwenye sound card then to pc, nikasema ngoja niongeze na ya usb nikanunua mic moja ya kichina hapa hapa, mic kuitazama nzur kweli ina stand. Ila quality ya sauti sasa, yani nikicompare na akg ni sawa na mbingu na ardhi. Nmelitupa kwenye box sina hamu nalo.Bei nafuu kiasi gani? Hio ya juu unanunua kiasi gani?
Huja fanikiwa mpaka sasa hivi kupata mic nzuri?Mkuu mic za kichina huko wanauza 35000 huku naona wanaziuza 80000 mpaka 250000, sasa nilijichanganya nikanunua moja maana mimi nina mic ya mpoland akg ambayo inaingia kwenye sound card then to pc, nikasema ngoja niongeze na ya usb nikanunua mic moja ya kichina hapa hapa, mic kuitazama nzur kwelu ina stand. Ila quality ya suat sasa, yani nikicompare na akg ni sawa na mbingu na ardhi. Nmelitupa kwenye box sina hamu nalo.
Ila kwa mtu mwingine anaweza akaona sauti iko sawa kabisa.
Nna akg na sound card ya behrínger inapga kaz fresh.Huja fanikiwa mpaka sasa hivi kupata mic nzuri?
Ni vitu vyangu muhimu nanunua tu online, mara mia usubirie vikiwa kwenye sale huko nje ili ufidie gharama za usafiri.
Hii issue sasa hivi ipo kote mafriji, tv, radio, na electronic Nyengine, unakuta Bidhaa ya kichina haina maana, inauzwa ghali kuliko OG brand kubwa, na watu wananunua tu kichwa kichwa.
Posta wanatakiwa wachangamke wawaunganishe Watanzania na Aliexpress, amazon na site nyengine kubwa, watapata hela, watapata Kodi na wananchi watanufaika,
Mkuu hizo mic hapa bongo ni bei ganiLavalier mic za design hii huwa zinakubali kwa simu View attachment 1982205
Otherwise tafuta proffesional recorder kama za waandishi wa habari zile halafu kuimaliza hamishia kwenye simu umalize editing.
maybe 10000 hivi za kichina low quality.Mkuu hizo mic hapa bongo ni bei gani
Shukurani mkuumaybe 10000 hivi za kichina low quality.
Mkuu hiyo hapo pichani zinauzwaje kwa hapa bongo,pia hizo za waandishi wa habari ni kama zipi hizo mkuu?Lavalier mic za design hii huwa zinakubali kwa simu View attachment 1982205
Otherwise tafuta proffesional recorder kama za waandishi wa habari zile halafu kuimaliza hamishia kwenye simu umalize editing.
vinakuwa kama visimu vidogoMkuu hiyo hapo pichani zinauzwaje kwa hapa bongo,pia hizo za waandishi wa habari ni kama zipi hizo mkuu?
niuzie hiyo uliyotupa kwenye boxMkuu mic za kichina huko wanauza 35000 huku naona wanaziuza 80000 mpaka 250000, sasa nilijichanganya nikanunua moja maana mimi nina mic ya mpoland akg ambayo inaingia kwenye sound card then to pc, nikasema ngoja niongeze na ya usb nikanunua mic moja ya kichina hapa hapa, mic kuitazama nzur kweli ina stand. Ila quality ya sauti sasa, yani nikicompare na akg ni sawa na mbingu na ardhi. Nmelitupa kwenye box sina hamu nalo.
Ila kwa mtu mwingine anaweza akaona sauti iko sawa kabisa.
Mkuu nshaliuza tayari. Ila ukitaka kuna duka flani liko karibu na shoppers kituo cha mwalimu wanauza hizo mic 80000 na 110000niuzie hiyo uliyotupa kwenye box
poa chief ila niko huku namtumbo, nitaangalia kwanza huku. ni kwaajili ya voiceover za youtube videosMkuu nshaliuza tayari. Ila ukitaka kuna duka flani liko karibu na shoppers kituo cha mwalimu wanauza hizo mic 80000 na 110000
Hahaha unatumia nini kurecord video?poa chief ila niko huku namtumbo, nitaangalia kwanza huku. ni kwaajili ya voiceover za youtube videos
hiyo ni kutoka china au hapa hapa bongo?Hahaha unatumia nini kurecord video?
Hizo mic ni kama hiyo. Quality yake sijapenda kaisaView attachment 2166308
Ndizo sawa na hizo nazokwambia wanauza hapo dukan hata yangu ilikuwa kama hiyo.hiyo ni kutoka china au hapa hapa bongo?
naingizia tu sauti,yaani nachanganya picha na audio