Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

Duh kumbe wataka kuitumia kwenye simu, basi hoi haiwezi kukufaa. Kuna mic flan hivi unaiplug kwenye simu ni kwa ajili ya kurekod saut hasa kwa wanahabari.
Mkuu kwanini ukiamua kufanya jambo usilifanye kwa ubora, ukanunua vifaa kuliko kufanua partially partially?
Nimekuelewa mkuu
 
Nimekuelewa mkuu
Jaribu hii mkuu hata hapa dar zipo zinauzwa sijui 15000
images (15).jpeg
 
Kama kama bado hujafanikisha MIC nzuri uje tucheze minada huku www.eBay.com ni kujichagulia mic gani unataka. Maisha yamekuwa rahisi sana achana na hizi takataka za low quality zinazosambaa AliExpress na Alibaba huko.

eBay tunacheza na brand pendwa zinazotumiwa USA, UK, JAPAN, AUSTRALIA etc.

Kwa voice over wataalamu walishachangia
#blueyeti au#snowballblue kwa badget ya around 40 - 50 USD unapata kitu high quality ambapo utaweza kupata HD audio
 
Sina uhakika mkuu Exactly kama utapata tripod kama hio ila tripod kkoo nenda msimbazi jengo la simba mtaa mfupi wa nyuma yake, kuna maduka mengi sana ya Speaker na vitu kama hivi.

Pia msimbazi kuna maduka ya wahindi ya Mic zipi tripod.
Asante sana mkuu kwa maelekezo
 
Back
Top Bottom