Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

hapo wanauza bei gani?
Kati ya 80000 mpaka 11000 yani hizi mic zote ni sawa tu tofaut yake label. Maana nlimchukulia mtu nyngne yenyewe ina stand kama ya zile mic za studio lakn wuality mbaya tu kama hiyo.
Kwa mtu wa kawaida ataona ni sawa ila mimi nikirun hyo sauti kwenye audacity naona kuwa quality yake mbaya hard to manipulate waves zake hazijashiba
 
ngoja nitafute kwanza vile vidogo vya kuweka kwenye kola

Kuna majamaa insta wanauza tena naona bei yake ya kawaida sena page sikumbuk wanajiitaje. Fanaya kumuuliza chief maana hakuna chimbo asilojua
 
nimeziona zile za shule wanauza 35,000.
halafu kuna zile headphones zinakuwa na microphone kama za marubani au customer care! unazijua au umewahi kutumia?
Chief-Mkwawa
 
headphone zenye mic nyingi ni kwa ajili ya vitu vya kawaida tu, kama livestream, gaming etc. sio mic zenye studio quality kabisa.
 
Kuna majamaa insta wanauza tena naona bei yake ya kawaida sena page sikumbuk wanajiitaje. Fanaya kumuuliza chief maana hakuna chimbo asilojua
Deo Corleone hizo wanaita mic za msikitini, za kuweka kwenye kola, ukifika tu pale uhuru na msimbazi zimejaa kibao, hizi nyingi hutumika na Amplifier, yenyewe kama yenyewe quality kupata nzuri ngumu. jina la kitaalamu ni lavalier,
 
Aisee nimetafuta huku nikakosa,ndo nikakuta hizo jamaa ndo akanambia zinzafaa nikaona kabla sijanunua nije niombe ushauri
 
kama upo serious agizia nje mkuu, hata kenya tu hapo utapata options nyingi sana, huku kwetu mic za 10,000 watakuuzia 50k ama laki kabisa.

poa ngoja nimcheki maana sipo DAr
 
Kwani mkuu unataka kutengeneza matangazo ya namna gani
Duh! Haya mambo mashikoro kwangu sijui nijieleze vp yaani kama saiv natumia simu kujirekodi nasoma tangazo kisha nalihamishia kwenye flash disk kisha inachomekwa kwenye amplifier kwa ajili ya kupita mtaani sasa quality ya sauti sio nzuri
 
Haaa kanunue tu hizi mic za kawaida alibaba zinauzwa 35000 ila hapa tz utazipata kwa 70000 mpaka110000 wenginr wanakugonga mpaka 250000 wanakuongopea eti ni studio mic.
Screenshot_20220327_204237.jpg

Na kuna yale pia yanajuja na sound card yote yako sawa tu na hili
 
Powa mkuu ninaweza kuitumia kwenye simu samsung note9 maana sina laptop
Duh kumbe wataka kuitumia kwenye simu, basi hoi haiwezi kukufaa. Kuna mic flan hivi unaiplug kwenye simu ni kwa ajili ya kurekod saut hasa kwa wanahabari.
Mkuu kwanini ukiamua kufanya jambo usilifanye kwa ubora, ukanunua vifaa kuliko kufanua partially partially?
 
Back
Top Bottom