Nimepata mic ya kununua lakini sina uhakika na ubora

Nimekuelewa mkuu
 
Kama kama bado hujafanikisha MIC nzuri uje tucheze minada huku www.eBay.com ni kujichagulia mic gani unataka. Maisha yamekuwa rahisi sana achana na hizi takataka za low quality zinazosambaa AliExpress na Alibaba huko.

eBay tunacheza na brand pendwa zinazotumiwa USA, UK, JAPAN, AUSTRALIA etc.

Kwa voice over wataalamu walishachangia
#blueyeti au#snowballblue kwa badget ya around 40 - 50 USD unapata kitu high quality ambapo utaweza kupata HD audio
 
Sina uhakika mkuu Exactly kama utapata tripod kama hio ila tripod kkoo nenda msimbazi jengo la simba mtaa mfupi wa nyuma yake, kuna maduka mengi sana ya Speaker na vitu kama hivi.

Pia msimbazi kuna maduka ya wahindi ya Mic zipi tripod.
Asante sana mkuu kwa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…