Kaweke UTTHamjambo?
Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata
Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata nianzie wapi
Kuiweka benki hiyo hela, kama mnavyojua maisha ya kibongo, kidogo tu utasikia shangazi kaumwa anataka hela ya hospitali
Hivyo nimewaza kuipeleka huko kwenye hisa, zikatumike na CRDB na NMB then by the time na-graduate ntauza hizo hisa nifanye mambo mengine
Mnanishaurije?
UTT ipi ya kumpa 1M kwa miaka miwili kwa uwekezaji huo wa 2M? Ama huifahamu vizuri?Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Mwenyew nime shangaa hizi hesabu mbona wangetajirika wengiUTT ipi ya kumpa 1M kwa miaka miwili kwa uwekezaji huo wa 2M? Ama huifahamu vizuri?
Kuweka 2M UTT ni kuwatajirisha walioweka pesa nyingi .Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Mmh, miaka mitatu hapati 1m mkuu.Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Ni heri kuliko ikikaa bank.Kuweka 2M UTT ni kuwatajirisha walioweka pesa nyingi .
Akufungue banda la ChipsNi heri kuliko ikikaa bank.
FactKama huo mtaa una watu wengi na umechangamka anzisha biashara ya Chips, kwa huo mtaji banda lako litakuwa zuri na utapata wateja sana . Chips ina faida ila ni vizuri ukawepo mwenyewe kwa ukaribu zaidi .
Utt kwa mwezi kwenye hiyo hela anapata 20k kwa mwezi kama faida,bado ni hasara!! Hiyo hela akinipa hata mimi kwa biashara zangu kw mwezi Nina uwezo wa kumpa 50k kama Faida huku namlindia mtaji wakeKaweke UTT
Almost laki tisa, not bad na atakuwa amesave pesa zakeMmh, miaka mitatu hapati 1m mkuu.
Sio scams, educate yourselfHuko bank kwenyewe ukipeleka hiyo pesa mbuzi utapata washauri wa kujitolea hukohuko ambao ni hao tellers.π
Hayo maUTT sijui fixed yanazungumziwa juujuu tu huku nje,hizo % unaziona ni scams tupu.
Maisha yangekuwa rahisi sanaAlmost laki tisa, not bad na atakuwa amesave pesa zake