Nimepata Milioni 2 Biashara ya Chips naona ngumu, nawaza kuwekeza kwenye hisa

Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.

Ukiiweka M wekeza ya
Mmh, miaka mitatu hapati 1m mkuu.
Ukiangalia vizuri kabla ya hiyo 1m nimeweka alama: ~ = approximate. ~1,000,000/=
Lakini pia inawezekana kufika 1m kwa sababu faida ya kila siku inaongezwa kwenye mtaji.
 
Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.

Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
UTT wana compund Interest M wekeza vipi MWekeza wanayo au ni fixed 13% interest
 
Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.

Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Kwa Maelezo yako kama interest ni 13%

So 2,000,000 x 13%=260,000 so kwa miaka 2 ni 520,000/= na siyo 1,000,000 acha kumuingiza Chaka dogo
 
Achana na hisa, achana na UTT, Wekeza kwenye biashara, Anza na hizo chips, au biashara nyingine yoyote.

Unaweza usipate faida ya pesa, ila utapata shule ya kutosha namna ya kufanya biashara, namna ya kusimamia biashara, na namna ya kutokufeli kwenye biashara.

Most probably, biashara ikafa, ila funzo utakalopata litakuhakikishia hautafeli kwenye biashara zijazo.
 
Tanzania Bonds/treasury bills hazijawahi default tangu zianzishwe, safest bet for your money 💰 💯
The higher the risk the higher the return bond zinabei kubwa lakini return yake ni ndogo sana kuweza ku enjoy na interest yake inalipwa semi-annually at least angekua na 500m angetia huko lakini 2m daah hata uiweke kwa miaka 25 achana na miaka yake miwili cjui kama utapata kitu halafu kwenye bond hawaweki inflation ya pesa mfano 2m ninayoiweka leo baada ya miaka 25 watanirudishia hiyo hiyo value for money haiwi considered dogo kwa Mtaji wa 2m na vyuo vingi Dar es Salaam anunue Counter Core 3 aanze biashara ya kuuza Nguo za ndani za Kike kwa mwanafunzi ndani ya miezi 3 ana double mtaji.

Kwenye Treasury bonds hakuna bond ya kuweka miaka miwili wame categories hivi

10 years

11.25%

15 years

10.75%

20 years

12.25%

25 years

13.25%
 
Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.

Ukiiweka M wekeza ya
Ukiangalia vizuri kabla ya hiyo 1m nimeweka alama: ~ = approximate. ~1,000,000/=
Lakini pia inawezekana kufika 1m kwa sababu faida ya kila mwezi inaongezwa kwenye mtaji.
compound interest...nimekuelewa
 
compound interest...nimekuelewa

Hamjambo?

Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata

Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata nianzie wapi

Kuiweka benki hiyo hela, kama mnavyojua maisha ya kibongo, kidogo tu utasikia shangazi kaumwa anataka hela ya hospitali

Hivyo nimewaza kuipeleka huko kwenye hisa, zikatumike na CRDB na NMB then by the time na-graduate ntauza hizo hisa nifanye mambo mengine

Mnanishaurije?
Dogo Fanya Biashara, kuweka pesa bank/kuwekeza hisa, UTT tuachie sie akina MO
 
The higher the risk the higher the return bond zinabei kubwa lakini return yake ni ndogo sana kuweza ku enjoy na interest yake inalipwa semi-annually at least angekua na 500m angetia huko lakini 2m daah hata uiweke kwa miaka 25 achana na miaka yake miwili cjui kama utapata kitu halafu kwenye bond hawaweki inflation ya pesa mfano 2m ninayoiweka leo baada ya miaka 25 watanirudishia hiyo hiyo value for money haiwi considered dogo kwa Mtaji wa 2m na vyuo vingi Dar es Salaam anunue Counter Core 3 aanze biashara ya kuuza Nguo za ndani za Kike kwa mwanafunzi ndani ya miezi 3 ana double mtaji.

Kwenye Treasury bonds hakuna bond ya kuweka miaka miwili wame categories hivi

10 years

11.25%

15 years

10.75%

20 years

12.25%

25 years

13.25%
The math looks good,

If you factor in depresicion of 5-6% then there only around 5% gain in your investment.

I don't advise this to young ppl, this is only OK for retired ppl who doesn't worry on their investment instead they worry on quarterly or annual income.
 
Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.

Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Kaka hizi hesabu una hakika?
Hamna faida ya hivyo UTT.

Kwa haraka haraka zidisha 2M × 13%
 
Kwa Maelezo yako kama interest ni 13%

So 2,000,000 x 13%=260,000 so kwa miaka 2 ni 520,000/= na siyo 1,000,000 acha kumuingiza Chaka dogo
Mimi nimetumia miaka mitatu. Halafu UTT faida inaongezwa kwenye mtaji kila siku.

Tofauti na M-Wekeza ambao faida inaongezwa kwenye mtaji kila mwezi.

Please be informed accordingly.
 
Sasa si upumbavu huo miaka 3 ni 780,000 income ya interest katika miezi 36 yaani kuweka 2m ili upate 21k kwa mwezi ni uzwazwa. Nikumbia Uza chupi tuu
 
Kama huna vyanzo vingine vya mapato na unategemea hiyohiyo 2M, sikushauri kununua hisa
 
Back
Top Bottom