Numbers don’t lie, run the numbers yourself utaonaMaisha yangekuwa rahisi sana
Hapana usimlaumu yeye anatafuta aina fulani ya uwekezaji ambao hauna risk.Katika madogo hawana akili wew ndio namba moja ... Kwa haraka haraka tu ingawa mim Niko mbali sana zaid yako Kama upo chuo tafuta pisi kali 2 anza mradi wa kuuza juis fresh ya baridi saaana kuliko kuweka hela uko hisa na hela yenyewe ndogo hio
Yanga ipi?Ulitaka upate kiasi gani na kwa muda gani? Kama vipi mfuate Yanga mazima kwenye ngao ya jamii hakika hautajutia
Kwa mwendo huu wa pesa zipo bank, na kuporwa tonge mdomoni, kwa hakika jamaa akimuua mnyama atakuza mtaji. Akiwa mwoga basi aende na over 1.5Yanga ipi?
Hujawahi kumuona Simba aliyejeruhiwa mbugani wewe.
Anachotaka yeye ni kuweka hio hela hataki kufanya biashara.Utt kwa mwezi kwenye hiyo hela anapata 20k kwa mwezi kama faida,bado ni hasara!! Hiyo hela akinipa hata mimi kwa biashara zangu kw mwezi Nina uwezo wa kumpa 50k kama Faida huku namlindia mtaji wake
Educate? Ingia field uweke pesa huko ndiyo utaelewa.Sio scams, educate yourself
Kila la kheri kwake
Kulikua na ulazima wa kumwambia hana akili? , ulishindwa kumpa huo ushauri bila kumkejeli?Katika madogo hawana akili wew ndio namba moja ... Kwa haraka haraka tu ingawa mim Niko mbali sana zaid yako Kama upo chuo tafuta pisi kali 2 anza mradi wa kuuza juis fresh ya baridi saaana kuliko kuweka hela uko hisa na hela yenyewe ndogo hio
Biashara ya chips awe na moyo... la sivyo miaka 30 ileee inamuita....Kila la kheri kwake
Wewe sema kweli??? Mbona hatari sana!!Biashara ya chips awe na moyo... miaka 30 ileee inamuita....
Atavikamatia sana...Wewe sema kweli??? Mbona hatari sana!!
Khakhakhaaa
Ushavinunulia sana chips ausio 😏😏😏!!Atavikamatia sana...
Nakemea...Ushavinunulia sana chips ausio 😏😏😏!!
Tanzania Bonds/treasury bills hazijawahi default tangu zianzishwe, safest bet for your money 💰 💯Educate? Ingia field uweke pesa huko ndiyo utaelewa.
Bongo hizo taasis za fedha janja janja kibao.
Mkuu nadhani hii reply yako umemlenga mtoa mada siyo mimi?Hapo mtaani ni kwenu au hostel(kwa maana ya kwamba chuo kikifunga unarudi kwenu)? Hiyo milioni mbili nyumbani wanajua kama unayo(kwa maana ya kwamba hautapewa tena pocket money)?
Nakushauri Ingiza hiyo hela kwenye biashara. Usiogope, kila kitu kina mwanzo. Hata uko benki utakapoipeleka ukimaliza chuo na kuichukua si utaanzisha biashara. Sasa kwanini usianze sasa hivi tu?
Igawe hiyo hela mara mbili. Mliioni 1 izungushe, milioni 1 iweke pembeni usiiguse kabisa. Achana na biashara zitakazikulazimu kukodi fremu au eneo. Cheki biashara ambazo utaweza kuzungusha mwenyewe hapo chuoni.
Wakati nasoma nilikua nafanya biashara ya kukopesha wanafunzi wenzangu hela ndogo ndogo kuanzia 20k mpaka 50k. Wanarudisha na riba baada ya wiki mpaka wiki mbili. Sikua na eneo la biashara walikua wananifuata bwenini au wananitafuta kwa mawasiliano ya simu. Ukianza na wachache watasimulia na wengine watakuja. Changamoto ni wabongo wagumu kulipa madeni. Kwahiyo unatakiwa kuangalia na unaemkopesha. Ujaluo ulinisadia hapa. Kama wewe ni mpole sana hii biashara haikufai.
Idea nyingine salama zaidi, unaweza ukabuni logo yako ukaprint tshirt na kuziuza hapo chuo. Unachukua mabishoo wawili na masista duu wawili maarufu unawapa tshirt moja moja za bure. Wakizivaa watakusaidia kukutangazia biashara.
Mimi wakati nasoma nilikua natengeneza tshirts za design nyingi za chuo. Wanafunzi wa chuo ukiwauzia tshirt zenye logo au maandishi ya chuo chao watanunua tu. Mchongo ulikua maarufu management ikanibania. Nikaomba nipewe tenda rasmi nitakua nalipa kwa commision, nikakubaliwa. Kwahiyo unapoanza usijali sana masuala ya kufuata taratibu rasmi.
Yes, ni kweli nimepitiliza nikaweka reply kwenye coment yako. Ngoja nimnukuu tenaMkuu nadhani hii reply yako umemlenga mtoa mada siyo mimi?
Hapo mtaani ni kwenu au hostel(kwa maana ya kwamba chuo kikifunga unarudi kwenu)? Hiyo milioni mbili nyumbani wanajua kama unayo(kwa maana ya kwamba hautapewa tena pocket money)?Hamjambo?
Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata
Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata nianzie wapi
Kuiweka benki hiyo hela, kama mnavyojua maisha ya kibongo, kidogo tu utasikia shangazi kaumwa anataka hela ya hospitali
Hivyo nimewaza kuipeleka huko kwenye hisa, zikatumike na CRDB na NMB then by the time na-graduate ntauza hizo hisa nifanye mambo mengine
Mnanishaurije?