wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Ukiangalia vizuri kabla ya hiyo 1m nimeweka alama: ~ = approximate. ~1,000,000/=Mmh, miaka mitatu hapati 1m mkuu.
UTT wana compund Interest M wekeza vipi MWekeza wanayo au ni fixed 13% interestUkiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Kwa Maelezo yako kama interest ni 13%Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
The higher the risk the higher the return bond zinabei kubwa lakini return yake ni ndogo sana kuweza ku enjoy na interest yake inalipwa semi-annually at least angekua na 500m angetia huko lakini 2m daah hata uiweke kwa miaka 25 achana na miaka yake miwili cjui kama utapata kitu halafu kwenye bond hawaweki inflation ya pesa mfano 2m ninayoiweka leo baada ya miaka 25 watanirudishia hiyo hiyo value for money haiwi considered dogo kwa Mtaji wa 2m na vyuo vingi Dar es Salaam anunue Counter Core 3 aanze biashara ya kuuza Nguo za ndani za Kike kwa mwanafunzi ndani ya miezi 3 ana double mtaji.Tanzania Bonds/treasury bills hazijawahi default tangu zianzishwe, safest bet for your money 💰 💯
10 years | 11.25% |
15 years | 10.75% |
20 years | 12.25% |
25 years | 13.25% |
compound interest...nimekuelewaUkiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza ya
Ukiangalia vizuri kabla ya hiyo 1m nimeweka alama: ~ = approximate. ~1,000,000/=
Lakini pia inawezekana kufika 1m kwa sababu faida ya kila mwezi inaongezwa kwenye mtaji.
compound interest...nimekuelewa
Dogo Fanya Biashara, kuweka pesa bank/kuwekeza hisa, UTT tuachie sie akina MOHamjambo?
Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata
Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata nianzie wapi
Kuiweka benki hiyo hela, kama mnavyojua maisha ya kibongo, kidogo tu utasikia shangazi kaumwa anataka hela ya hospitali
Hivyo nimewaza kuipeleka huko kwenye hisa, zikatumike na CRDB na NMB then by the time na-graduate ntauza hizo hisa nifanye mambo mengine
Mnanishaurije?
****UTT wanaongeza faida ya kila siku kwenye mataji na siyo faida ya kila mwezi kama M-Wekezacompound interest...nimekuelewa
Ikawe hivyo…Kila la kheri kwake
The math looks good,The higher the risk the higher the return bond zinabei kubwa lakini return yake ni ndogo sana kuweza ku enjoy na interest yake inalipwa semi-annually at least angekua na 500m angetia huko lakini 2m daah hata uiweke kwa miaka 25 achana na miaka yake miwili cjui kama utapata kitu halafu kwenye bond hawaweki inflation ya pesa mfano 2m ninayoiweka leo baada ya miaka 25 watanirudishia hiyo hiyo value for money haiwi considered dogo kwa Mtaji wa 2m na vyuo vingi Dar es Salaam anunue Counter Core 3 aanze biashara ya kuuza Nguo za ndani za Kike kwa mwanafunzi ndani ya miezi 3 ana double mtaji.
Kwenye Treasury bonds hakuna bond ya kuweka miaka miwili wame categories hivi
10 years
11.25%
15 years
10.75%
20 years
12.25%
25 years
13.25%
Kaka hizi hesabu una hakika?Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Mimi nimetumia miaka mitatu. Halafu UTT faida inaongezwa kwenye mtaji kila siku.Kwa Maelezo yako kama interest ni 13%
So 2,000,000 x 13%=260,000 so kwa miaka 2 ni 520,000/= na siyo 1,000,000 acha kumuingiza Chaka dogo
Sasa si upumbavu huo miaka 3 ni 780,000 income ya interest katika miezi 36 yaani kuweka 2m ili upate 21k kwa mwezi ni uzwazwa. Nikumbia Uza chupi tuuMimi nimetumia miaka mitatu. Halafu UTT faida inaongezwa kwenye mtaji kila siku.
Tofauti na M-Wekeza ambao faida inaongezwa kwenye mtaji kila mwezi.
Please be informed accordingly.
Siyo 780,000/= ni 954,000/=Sasa si upumbavu huo miaka 3 ni 780,000 income ya interest katika miezi 36 yaani kuweka 2m ili upate 21k kwa mwezi ni uzwazwa. Nikumbia Uza chupi tuu
2,885,794/=Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.