Utt kwa mwezi kwenye hiyo hela anapata 20k kwa mwezi kama faida,bado ni hasara!! Hiyo hela akinipa hata mimi kwa biashara zangu kw mwezi Nina uwezo wa kumpa 50k kama Faida huku namlindia mtaji wake
Tumia hii formula2,885,794/=
DreamsUkiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Laki tisa?!Almost laki tisa, not bad na atakuwa amesave pesa zake
Mkuu jamaa yupo sahihi mbonaSasa si upumbavu huo miaka 3 ni 780,000 income ya interest katika miezi 36 yaani kuweka 2m ili upate 21k kwa mwezi ni uzwazwa. Nikumbia Uza chupi tuu
Biashara ya chips ni nzuri lakini inatakiwa upate mtu mwaminifu kwenye mauzo,husije kumaliza chuo unakuta banda linaenda kufa halafu uliyemwachia ana mabanda mawili mitaa tofautiHamjambo?
Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata
Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata nianzie wapi
Kuiweka benki hiyo hela, kama mnavyojua maisha ya kibongo, kidogo tu utasikia shangazi kaumwa anataka hela ya hospitali
Hivyo nimewaza kuipeleka huko kwenye hisa, zikatumike na CRDB na NMB then by the time na-graduate ntauza hizo hisa nifanye mambo mengine
Mnanishaurije?
Ushauri umeshiba.Sijui kijijini kwenu ni wapi lakini mimi ningefanya hivi;
1. Ningenunua mbuzi wadogo niwe na fuga kwa kumuajiri mtu najua kijijini hii sio ghali, kwa miaka miwili uwezekano wa kua na mbuzi wengi zaidi ni mkubwa.
2. Ningenunua pikipiki naitumia kwendea chuo na muda usio wa masomo nabeba abiria.
3. Stationery kwajili ya printing© karibu na chuo
M-WEKEZA janja janja sanaUkiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Yeah hizi ndio ideas ambazo zinamfaa kwa mwanachuo biashara zingine zitamvuruga tuSijui kijijini kwenu ni wapi lakini mimi ningefanya hivi;
1. Ningenunua mbuzi wadogo niwe na fuga kwa kumuajiri mtu najua kijijini hii sio ghali, kwa miaka miwili uwezekano wa kua na mbuzi wengi zaidi ni mkubwa.
2. Ningenunua pikipiki naitumia kwendea chuo na muda usio wa masomo nabeba abiria.
3. Stationery kwajili ya printing© karibu na chuo
Kweli kabisaM-WEKEZA janja janja sana
kwa nn umemshauri aweke bond fund na sio liquid fund?Ukiiweka UTT bond fund utapata interest ya karibia 13% kwa mwaka. Kwa miaka mitatu utavuna ~1,000,000/= + 2,000,000/= utapata jumla 3m.
Ukiiweka M wekeza, interest rate ndiyo hiyo hiyo.
Hii inatokana na wapi UTT wanawekeza pesa za bond fund na liquid fund.kwa nn umemshauri aweke bond fund na sio liquid fund?
Thanks, japo naona wengi wanaichangamkia liquid fundHii inatokana na wapi UTT wanawekeza pesa za bond fund na liquid fund.
Bond fund huenda pesa zake zinatumika kununua hati fungani za serikali za muda mrefu ambazo zina faida kubwa.
Liquid fund pesa zake huenda zinawekezwa kwenye hisa za benki au makampuni ambazo faida yake siyo kubwa na siyo fixed.