Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Angalia avator yangu. Hiyo ni versatile. Miaka ya 90 mwanzoni tulikuwa tunalima ngano large scale huko basotu Hanang kwa mashamba ya kukodi.
Sasa tupo west kilimanjaro mazao mchanganyiko. Karibu.
Safi sana
 
Njoo chemba utashangaa. Pesa ninazo.kazi nzuri kubwa na cheo kikubwa na kampuni kubwa vinafanya kazi.
Hofu ya Mungu ndo mpango mzima.
Kumbe umeajiriwa.. Sasa umejuaje kwamba 50 m hazitoshii wewe.. Sina muda wa kukufuata huko chemba.
 
Kumbe umeajiriwa.. Sasa umejuaje kwamba 50 m hazitoshii wewe.. Sina muda wa kukufuata huko chemba.
Huna sababu ya kunikasirikia. Unapokuwa mtaalam uliyebobea halafu huwezi tumia elimu na ujuzi wako kwa faida yako na mwajiri wako; hiyo elimu yako ina walakini. Nafanya kazi kwa mkataba nikimaliza nawekeza na nimetengeneza team nzuri ya kusimamia shughuli zangu.
Usisubiri kustaafu. Mafao hayatoshi hata ulipwe ngapi.
Nakushauri na wewe ufanye hivyo usisubiri kustaafu uanze kulaumu serikali.
 
Hakuna connection ya unachoongea na nilichoongea. Unamwambia mtu milioni 50 hazitoshi umetumia kigezo kwamba mtu hawezi kuanza biashara na milioni 50? Acha porojo zingine sijui umeajiriwa kwa mkataba it is none of my business. Turudi kwanini umesema m 50 haitoshi. umetumia kigezo kipi?
 
That was my advice. Take it or leave it.
 
Mradi mzuri na kupiga pesa haraka bongo ni ufugaji wa samaki na kuku kila mwezi unavuna 8m

umenena mkuu..hapo hata "aki-discount cashflow yake",uwekezaji unakua mzuri kwa zaidi ya 5years na Return yake ni nzuri,na value ya mtaji pia inatripple...ni wazo zuri kwa hiyo hela
 
Wekeza pia kwenye hisa mojawapo huku Tz kama Twiga, UTT, ziko nyingi utapata faida. Ila usijikite kuwekezaTOL utajuta.
 
Ushauri wangu kwako ndugu ni kwamba mimi naona kilimo cha viazi mviringo kinalipa na ni kizuri sana kwa kuwa kinachukua maxmum ya miez 4 lakini kawaida ni miez 3 kuvuna, na kiazi kina mahitaji makubwa sana sokoni na kwa mtumiaji wa mwisho pia...Kwa milion 50 unaweza kupata zaid ya milion 800 ikiwa unafanya kilimo kama kinavyotakiwa...Utaanza na kukod shamba la hekali 40 ambayo itakugharimu sh 60,000 kwa kila heka...Mbegu mpya ya kiazi ambacho hakina mabonde ni sh 100,000 kwa hekal moja ...Utanunua mashine za kumwagilia ambazo kwa makadilio itakughalimu sh milion 3 maximum ....Utanunua mbolea ambayo kila heka utanunua mbolea ambayo itakugharimu sh mil 6 kwa hekali 40 zote ...Utaweka vijana wa kulima ambao utaelewana nao kwa mazungumzo ya kawaida ambayo inaweza kukugharimu sh 400,000 maximum kwa hekali zote 40 ..ukipiga hesabu kwa ujumla utakuwa umetumia sh milion16 tu katika hiyo 50 uliyonayo..Na kiazi kwa hii mbegu mpya unatoa gunia 80-100 kwenye hekali moja...Kiazi kama hiki kisichokuwa na mabonde kina mahitaji makubwa sana sokoni na kikishuka bei kinauzwa 80,000 kwa gunia dar es salaam...Ndugu ukipiga kwa mahesabu ya haraka haraka unaweza kuvuna gunia 3,200 katika shamba la hekali 40 kwa msingi wa shiling milion 16 tu kati ya milion 50 ulizo nazo ...Na kama utauza kipind cha bei ya chini ya sh 80,000 kwa gunia utakuwa umejipatia tsh 256,000,000 ...ukitoa gharama za usafirishaji kutoka shamba hadi masoko ya dar es salaam itapungua hapo kidogo lakini haita affect hiyo figure ..May be 240,000,000... Huo ndo ushauri wangu ndugu na nina uhakika kabisa kama ukitumia kias chote cha sh mil 50 bas utapata faida zaid ya hiyo ambayo inaweza kufikia hadi milion 800...
 
Back
Top Bottom