Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante.sio roll modal ni role model
Biashara hii haina futureNimependa huu ushauri ningekuwa mi ndo huyo dogo nafanya hii kazi!!
COASTER wanafaidi madereva tu ,haina kitu labda eundeshe mwenyewe au uwe konda wewe mwenyewenunua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
maelezi zaidi mdauKaka kuna biashara ya mazao inalipa sana, hii biashara huwa inaanzia mwenzi wa tatu, kwa mtaji kama wako ndan ya mwaka mmoja unapata faida milion 50, pia kuna fulsa nyingine.
Nitatoa Ufafanuzi baadae kidogo mkuu, nina kazi.maelezi zaidi mdau
poa mkuu niko ns interests na mazao sana sema sina technical know how zake..tunakusubiriNitatoa Ufafanuzi baadae kidogo mkuu, nina kazi.
Watu wengi naona mnamshauri aendelee kutumia njia aliyotumia kupata hiyo Pesa ili iongezeke je Kama aliiba akaibe tena...!?Njia ulio tumia kuipata hiyo million 50, ukiwa na miaka 25, ongeza ubunifu thru njia hiyo hiyo utapata nyingine nyungi.
Hongera mm nipo hapa ni above 30 hata pikpik sina.
Embu nisaidie kwenye hilo la forex nilielewe vyema na mie niwe mshirika
Nnaelewa hilo na kwa sasa nnajitahidi kusoma soma kidogo nipate walau uelewa... Ila kama kuna shortcut ya kupata ufahamu zaidi wa hiyo kitu ningefurahi zaidiIt will take time and experience doing that. It's not an easy thing.
Nina mashaka na umri wako mkuu,samahani lakini.....50 mil nyumba na coaster juu....Nunua coaster upige hela, inayo baki jega nyumba ya wapangaji au guest
Mkuu nitakutafuta tafadhali....Mkuu karbu tufanye biashara ya mbao ngumu hpo lazma utoke mi ntakupa mwanga
Bavaria unaweza saidia maelezo zaidi hapa?Wekeza kwenye financial markets kama unataka utoke fasta.
Forex zinakutoa fasta, ukiweka hiyo 50M utakuwa unatengeneza kama 500USD kila siku.
Davion Delmonte Jr.
Nnaelewa hilo na kwa sasa nnajitahidi kusoma soma kidogo nipate walau uelewa... Ila kama kuna shortcut ya kupata ufahamu zaidi wa hiyo kitu ningefurahi zaidi