Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

Ukiwa na mil50 wewe sio milionea...Milionea maana yake unatakiwa uwe na pesa kuanzia bilion...
Nitakupa mfano mdogo..Mwenye milion 50 mana yake hana milion 100 ...ukiwa milionea unatakiwa uwe na kiasi cha pesa chochote kinacho tamkwa milion kadhaa..

Daa, pamoja na kuwacrushed sana.. Ila we jamaa unaakili sana.. Umenipa elimu hata mimi! Milionea sio kuwa na milion 2,3,10! Hapana ww is milionea

BBZ10
 
Bavaria unaweza saidia maelezo zaidi hapa?

Nimekuwa kwenye Forex na trading companies kwa muda mrefu sasa, yapata mwaka 1 na nusu.. Nilipata hasara zaidi ya $6800 USD na mpaka sasa nimekuwa mzoefu mno na nimefundishwa njia nyingi karibu miezi 6 sasa..

Ngoja niwape siri: wazungu wengi sana wanaishi kwa njia hii na ni njia halali na unapata pesa bila kuhangaika kabisa na ahuitaji kuwa na elimu kubwa ama pesa nyingi!

Kuna rafiki yangu hana kazi na alikosa chuo alipokuwa anataka kusoma masters degree. Nikamfundisha hii kitu kwa wiki 2 mfululizo, sasa hivi anasoma university of Nairobi na anakula na kusomesha ndugu zake kwa kutumia hii..

Waswahili wanasema, ustaarabu na hekima haipatikani kwa kujisifu! Lahashaa. Bali kwakujali na kutoa msaada!

Kwa mtu yeyote yule kuanzia umri wa 18 na kuendelea, ukiwa na mtaji wa kuanzia laki 2 na nusu za kitanzania unaweza kunitafuta na nitakupa elimu hii kwa gharama nafuu sana, hutajuta na kama huna mtaji lakini unahitaji kufahamu basi utapata elimu kubwa!

Watu wengi wanahofu sana lakini nakuahidi kama kweli unahitaji kutoka hii ndio njia.. Nitafute kwa 0673521262, 0763231410, text piga whatever but sio usiku wa manane.. Au send email; maedctz@hotmail.com

Nawatakia usiku mwema!!

Unachosema Bavaria nnakubaliana nawe kabisa hii kitu ya forex mtu ukiizoea na kuijulia unatoka kabisa na kuwa Millionaire($)...
 
nunua coaster uanze biashara ya daladala na pesa zinazobaki wekeza katika kilimo...
Hili wazo ni zuri aisee maana mwisho wa siku watu tutapanda tu mabasi tutaacha magari yetu...
Hivi Coaster mpaka kuiweka barabarani ni kiasi ganii... Mkuu?

Hiki kijiwe kizuri ya biashara
 
Mradi mzuri na kupiga pesa haraka bongo ni ufugaji wa samaki na kuku kila mwezi unavuna 8m
Kuku ni headache mkuu.... Biashara hii haitabiriki... Leo utakuta demand ni kubwa kesho demand ni ndogo kama sasa yaani hao kuku wako mtaani kibao. Jamaa wakija wale wanunuzi wanakupiga kalenda nitakuja kesho huku we waendelea kulisha tu.... Na chakula kinapanda....

Cjui kwa hao samaki?
 
nakushauri uwekeze kwenye Miti ya mbao ndani ya hiyo miaka kumi utavuna pesa nzuri sana,u nanunua Miti ya miaka mitatu au mitano
Hivi unawekeza kwa hiyo miti kesho kuvuna unaomba serikali kibali cha kuvuna hiyo miti je wakikata inakuaje kwa mfano yaaaani....
 
Heshima zenu wakuu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa
Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania.
Je ni fursa zipi nnazo weza kuzipata Tanzania kuweza ili kuimaximize hii pesa ili niweze kuwa Millionaire ndani ya miaka 10 kutoka sasa.?
Asanteni.
Hivi ukiwekeza hii ela kwenye Hisa kama TBL vipi return yake inakuwaje....
 
Wanaokushauri kununua gari sijui coaster au daladala wanataka kukuongezea pressure bure maana hujui uko barabarani kitatokea nini na hawa madereva wetu. Maana dereva hasiposababisha wengine wanaweza kumsababishia ajari na ukaishia kuwa na scrapers. Kilimo ndgu yangu yataka moyo maana unategemea Baraka za mwenyezi Mungu ili mvua inyeshe na wapi utapata mashamba. nayo ni pressure nyingine na pia hata ukilima je soko unalo? ili kuuza madalali wanajua kucheza na mkulima na kujua jinsi ya kumlalia na kuishia umepata hasara na mwaka huu tumeshuudia watu wamelima nyanya zimeishia kuozea shambani. Nyumba nayo biashara yake ni kizungumkuti maana utegemee hela za mpangaji kila mwezi kurudisha mtaji wako ni kizungu mkuti. Labda ujenge Guest nzuri kidogo italipa lakini gharama zake si 50m.
Kidogo labda aliyesema ufugaji wa samaki na kuku japo sina experience nao.
Biashara mpaka uwe na uhakika wa shindano la soko
Mawazo yako ni mazuri....
 
Back
Top Bottom