Nimepata mkopo Tsh 300,000. Naomba ushauri nini cha kufanya

Nimepata mkopo Tsh 300,000. Naomba ushauri nini cha kufanya

Odds 1600+ milioni 90 hii hapa🐼
1000017529.jpg
 
Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Kama Vp nikuelekeza sehemu unauza gongo na nyama za makwasukwasu pia kuna kina mama watakusaidia mambo mengine kama ya wanzuki nakadhalika.....pesa itarudi ndani ya muda mfupi pia kuna wana utapiga nao dili la bange....
 
Chakukushauri uongeze mikopo angalau iwe milioni kumi na uende night club ukale raha.laki tatu ndogo sana
 
Kwa hiyo umechkua mkopo, wa kulipa kuanzia wiki 2, na halafu hujui hata unaufanyia nini?!,😂😂😂😂

Nashauri rudisha hiyo laki Tatu kwa mwenyewe, muambie nilikurupuka, kuhusu riba nipe mda nitafute nikulipe kwa usumbufu. Heri ya robo Shari kuliko kadhia inayokwenda kukukuta!
 
1.uza vitu kama sigara,pombe au mihogo nk kama unakijiwe.
2.Tembeza vitafunwa kama mandazi,mayai,mahindi au kahawa/uji.
3.Nenda nunua petrol au dizeli ya kupima uza.
 
Back
Top Bottom