Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

Nimepata mshtuko mkubwa Ubungo Bus Terminal leo alfajiri!

Stand ya ubungo ni takataka kabisa sijui watawala wanawaza nini
Nasikia November 30 mwaka huu 2020 stendi mpya ya mabasi ya mikoani mbezi Luis inaanza kazi rasmi na Ubungo kusimama
 
Watu wa Dar bwana, mtu anashangaa ubungo wakati anayo miaka yote na iko hivyo hivyo

Mara ya kwanza nafika Dar nilishangaa kinachoipa ukuu ile stendi ni kitu gani
 
Hizi stand kwa mtazamo wangu bado naona zinajengwa kibiashara zaidi bila ya kuangalia mlengwa.
Matarajio yangu stand kubwa kama hiyo ingekuwa na sehemu ambayo abiria anapopanda hapati ahida hata kama kuna mvua.
 
Back
Top Bottom