FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #161
Nasikia November 30 mwaka huu 2020 stendi mpya ya mabasi ya mikoani mbezi Luis inaanza kazi rasmi na Ubungo kusimamaStand ya ubungo ni takataka kabisa sijui watawala wanawaza nini
Mimi nafikiri wangeweka utaratibu sio lazima stand iwe moja, mfano kungekuwa na stand ya ubungo, Tegeta, mbagala, mbezi nkNasikia November 30 mwaka huu 2020 stendi mpya ya mabasi ya mikoani mbezi Luis inaanza kazi rasmi na Ubungo kusimama
Sawa, ila hatua kwa hatua tutafikaMimi nafikiri wangeweka utaratibu sio lazima stand iwe moja, mfano kungekuwa na stand ya ubungo, Tegeta, mbagala, mbezi nk