Hubadilika mara moja tu baada ya kuvunjika kwa tissue na damu huvia na kuwa na rangi nyeusi, matibabu yake nafikiri ni kwa njia ya upasuaji mkuu .Ni baada ya mda gani mkuu. Na ukivunjika kuna namna ya kuunga??
Picha mkuuUtakuwa ulikuwa unatumia Ile style ya reverse cowgirl.....poleee
Mkuu picha sina ila ni kama mwanamke anaikalia huku amegeukia miguuniPicha mkuu
OhooHubadilika mara moja tu baada ya kuvunjika kwa tissue na damu huvia na kuwa na rangi nyeusi, matibabu yake nafikiri ni kwa njia ya upasuaji mkuu .
ππππMkuu picha sina ila ni kama mwanamke anaikalia huku amegeukia miguuni
Ndio ikoje hiyo Missy Gf πUtakuwa ulikuwa unatumia Ile style ya reverse cowgirl.....poleee
Haijavunjika bana vumulia kidogo ndani ya siku 3 utakuwa sawaHabar wakuu, hii sio masihara jana usku katika harakati ya kudumisha ndoa nilipata mshtuko wa uume nikahisi umevunjika, hadi saiz unauma na siwez ku Erect vzuri ukasimama wima, ila unanyanyuka kidogo na kurud chini, naombeni msaada wa haraka wakuu, Je ni kwel naweza kuwa nimevunjika uume au ni hali ya kawaida utarud kuwa sawa?
Kama yupo aliewahi kukutwa na hali kama hii anisaidie ni namna gani nifanye au kama kuna tiba ya haraka naombeni msaada, Hapa nimeukanda na maji ya moto tu ila bado sioni ahueni.
Nipo siriaz sitanii nahitaji msaada wa haraka.
Nimekutana nayo ebhanaeeeeee π₯π₯π₯π₯π₯Hahah Soma comment no #27
Wewe unaonekana ni mtaalamu sana πππHahah Soma comment no #27
Akuuu...haya yote nimejifunzia humu humuWewe unaonekana ni mtaalamu sana πππ
Umejifunzia wap rafiki ? Uzi upiπAkuuu...haya yote nimejifunzia humu humu
Aaah kama ndiyo hivyo umekwisha umebakiwa na kazi moja tu ya kutolea mkojo wa bure usiokuwa na faida mbususu utaishia kushika tu kiongoziKwisha habari yako
Daah huyu jamaa sio poaa ππKmmkeπ