Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari ya asubui
Jana tumefanikiwa kumstili Binti yetu salama Kwenye nyumba yake ya milele
Sasaiv tunaendelea na ratiba za kawaida za msiba.
Kwa mlio nitia moyo Mw/Mungu awabariki 🙏🏽
Na wale mlio nikejeli Kwenye kipindi iki kizito na kigumu na wewe nakuombea upitie katika Hali iyo Ili uone n wakat gan ninao pitia Kwa sasa🙏🏽
ukifiwa ndo huwezi kuandika boss?? Jamaa katoa taarifaUmepata na nguvu za kuingia jf kuandika?
Huyo mtoto alikua wako au kambo?
Tunatofautiana sana aisee..binafsi siweziukifiwa ndo huwezi kuandika boss??
Kila mmoja ana namna yake ya kuomboleza, huyu hii ndiyo namna yake.Umepata na nguvu za kuingia jf kuandika?
Huyo mtoto alikua wako au kambo?
Pole sana ni kazi ya MunguHabar ya asiku huu nimepata msiba WA mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku WA sa tisa
Msiba upo morogoro mjini forest KILEKA
Pole Sana , mkuu .Habar ya asiku huu nimepata msiba WA mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku WA sa tisa
Msiba upo morogoro mjini forest KILEKA
Me nimemuuliza swali,nategemea anijibu mhusika.Kila mmoja ana namna yake ya kuomboleza, huyu hii ndiyo namna yake.
Huyu ni ndugu yetu hapa jukwaani, ametupa taarifa na eneo uliko msiba akitegemea faraja kutoka kwetu na sio haya uliyoandika.
Kama huna neno la faraja msibani ni vyema usizungumze kabisa.
Na swali hilo umemuuliza hapa kwenye jukwaa huru na sio PM, ndio maana nimekujibu mimi pia.Me nimemuuliza swali,nategemea and jibu mhusika.
AsanteNa swali hilo umemuuliza hapa kwenye jukwaa huru na sio PM, ndio maana nimekujibu mimi pia.
Pole sana Mungu akutie nguvuHabar ya asiku huu nimepata msiba WA mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku WA sa tisa
Msiba upo morogoro mjini forest KILEKA
Pole sanaHabar ya asiku huu nimepata msiba WA mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku WA sa tisa
Msiba upo morogoro mjini forest KILEKA
Nadhan age hii ya social media imechangia pakubwa watu kukosa ujasiri.Tunatofautiana sana aisee..binafsi siwezi