Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

Habar ya asiku huu nimepata msiba WA mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku WA sa tisa
Msiba upo morogoro mjini forest KILEKA
Magical power pole sana kama hizi habari ni za kweli ila kama ni za kuzusha JF inaweza kugeuka shubiri kwako
Binafsi nimepata ukakasi na hii taarifa. Msiba umetokea saa tisa usiku na saa kumi usiku ukaingia JF kupost!
Naamini kwanza umepata taharuki kubwa na kuna mengi ya kufanya kabla ya kutangazia watu msiba utakuwa wapi
Je marehemu aliugua? Kwa muda gani?
Je kafia hospital au nyumbani?
By the way tupe taarifa sahihi tutakushika mkono katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mwanao ikithibitika ni kweli
 
Back
Top Bottom