Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kustili ni lahaja ya wapi?Habari ya asubui
Jana tumefanikiwa kumstili Binti yetu salama Kwenye nyumba yake ya milele
Sasaiv tunaendelea na ratiba za kawaida za msiba.
Kwa mlio nitia moyo Mw/Mungu awabariki 🙏🏽
Na wale mlio nikejeli Kwenye kipindi iki kizito na kigumu na wewe nakuombea upitie katika Hali iyo Ili uone n wakat gan ninao pitia Kwa sasa🙏🏽
Poleni sana ndugu Mungu awe mfariji wenu mkuu ktk kipindi hiki kigumu cha kufiwa na Binti. Roho ya marehemu ipate pumziko la milele apumzike kwa amani Amina.Habar ya usiku huu,
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Pole sana aseeHabar ya usiku huu,
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Pole sana kiongozi Mungu awe faraja kwenu.Habar ya usiku huu,
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Ukikaa kimya utakufa?Umepata na nguvu za kuingia jf kuandika?
Huyo mtoto alikua wako au kambo?
Pole kaka aiseee msiba /misiba ni Jambo lisilo zoeleka for yearsHabar ya usiku huu,
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Hakika.Nadhan age hii ya social media imechangia pakubwa watu kukosa ujasiri.
Zamani ilikuwa unafiwa, halafu unalazimika kuandika barua kadhaa za taarifa ya msiba huo na kuzituma kwa ndugu na jamaa mikoani kwa kutumia vyombo vya usafiri
Kwa mfano wewe ukifiwa hautamwambia mtu yeyote kupitia simu yako?! Kwa kuwa utakuwa huna nguvu?!!!Umepata na nguvu za kuingia jf kuandika?
Huyo mtoto alikua wako au kambo?
Jf ni kama familia, Mimi ni sehemu ya Maisha yangu.Umepata na nguvu za kuingia jf kuandika?
Huyo mtoto alikua wako au kambo?
Nibora umemweleza it's better kupita kimya kimya kuliko kuleta mizaha, masiala kwenye msiba wa mwenzetu.Ukikaa kimya utakufa?
Huyo jamaa ni mjinga anayetafuta Kiki mitandaoni...uchungu wa kufiwa anafanya mizahaNibora umemweleza it's better kupita kimya kimya kuliko kuleta mizaha, masiala kwenye msiba wa mwenzetu.