Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

@Moderator kindly assist in emergency issues
Like kungekuwa na utaratibu ambao after confirmation ya tukio kama hili kungekuwa na namna sisi wanaJF kushiriki kwa pamoja kwa namna moja ama nyingine including kushikamana na kusaidia kwa kumshika mkono mfikwa.

Platform mbalimbali naona wamefanya hivi na wameweza. Hebu wakuu Maxence Melo na wakuu wengine oneni namna ya kufanya tusiishie tu kupigana spana na jokes!

Pole ya mdomo inamfariji mfikwa lkn michango ya hali na mali ni mizuri na inafariji zaidi kwa nyakati kama hizi!!
 
Habari ya asubui
Jana tumefanikiwa kumstili Binti yetu salama Kwenye nyumba yake ya milele
Sasaiv tunaendelea na ratiba za kawaida za msiba.
Kwa mlio nitia moyo Mw/Mungu awabariki 🙏🏽
Na wale mlio nikejeli Kwenye kipindi iki kizito na kigumu na wewe nakuombea upitie katika Hali iyo Ili uone n wakat gan ninao pitia Kwa sasa🙏🏽
 
Pole sana mkuu,
Natambua nyakati upitazo, mungu aendelee kukufariji wewe na familia nzima. Familia ya wana JF tupo nawe katika kipindi hiki kigumu.
Binti yetu aendelee kupumzika kwa Amani!!
 
Habari ya asubui
Jana tumefanikiwa kumstili Binti yetu salama Kwenye nyumba yake ya milele
Sasaiv tunaendelea na ratiba za kawaida za msiba.
Kwa mlio nitia moyo Mw/Mungu awabariki 🙏🏽
Na wale mlio nikejeli Kwenye kipindi iki kizito na kigumu na wewe nakuombea upitie katika Hali iyo Ili uone n wakat gan ninao pitia Kwa sasa🙏🏽
Pole sana
 
Back
Top Bottom