Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habar ya usiku huu,
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Habari ya asubui
Jana tumefanikiwa kumstili Binti yetu salama Kwenye nyumba yake ya milele
Sasaiv tunaendelea na ratiba za kawaida za msiba.
Kwa mlio nitia moyo Mw/Mungu awabariki 🙏🏽
Na wale mlio nikejeli Kwenye kipindi iki kizito na kigumu na wewe nakuombea upitie katika Hali iyo Ili uone n wakat gan ninao pitia Kwa sasa🙏🏽