Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

Kustili ni lahaja ya wapi?
 
Habar ya usiku huu,

Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.

Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka

=====

Update
Poleni sana ndugu Mungu awe mfariji wenu mkuu ktk kipindi hiki kigumu cha kufiwa na Binti. Roho ya marehemu ipate pumziko la milele apumzike kwa amani Amina.
 
Pole sana ndugu yetu. Mwenyezi Mungu awafariji kipindi hiki kigumu kwenu. Salama alale salama.
 
Habar ya usiku huu,

Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.

Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka

=====

Update
Pole kaka aiseee msiba /misiba ni Jambo lisilo zoeleka for years

Mungu akupe nguvu na akutie moyo kwenye kipindi kigumu Kama ichi mnacho pitia.
 
Nadhan age hii ya social media imechangia pakubwa watu kukosa ujasiri.
Zamani ilikuwa unafiwa, halafu unalazimika kuandika barua kadhaa za taarifa ya msiba huo na kuzituma kwa ndugu na jamaa mikoani kwa kutumia vyombo vya usafiri
Hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…