Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Huu si ushetani bali huyu wa skafu ameleta shari tu....na hao wa kijani uvumilivu ni tatizo......
Hili ndilo limenifanya nisimpongeze kwani tumwletewa mzigo mwingineDaah, eti Kadi ya CCM
Kama Nape Moses Nnauye 😂Anaitwa Moses.
Muite Jiwe,Sabaya au BashiteMungu ni mwema.
Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.
Mama na mtoto ni wazima.
Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.
Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Ila akili za Kihayati hayati ndio sahihi kwako?Akili za kichadema chadema marufuku kwangu.
Kujitegemea kupi kila siku mama yenu yuko majuu kukopa na kuombaomba?Namkuza katika misingi ya ujamaa na kujitegemea.
OngeraOngera
Hongera.Ongera