Nimepata mtoto wa kiume

Nimepata mtoto wa kiume

Huu si ushetani bali huyu wa skafu ameleta shari tu....na hao wa kijani uvumilivu ni tatizo......

Binafsi nimeshawahi kuchaniwa T-SHIRT yangu ya CCM maeneo ya K/KOO nikiwa kijana wa chuo kikuu kipindi kile CCM inaandamwa na JINAMIZI na kabla ya "KUJIVUA GAMBA".....

Je walionichania nguo yangu nao ni mashetani ?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Mungu ni mwema.

Siku chache zilizopita nimejaliwa mtoto wa kiume.

Mama na mtoto ni wazima.

Namuandalia kadi yake kabisa ya CCM.

Ngoja nipunguze siasa kidogo maana nina hamu ya kumuona akigraduate na kufanya mambo yake.
Muite Jiwe,Sabaya au Bashite
 
Hongera sana..sasa fanya mpango muite mtoto jina la kiswahili usiwe mtumwa wa wazungu..me napendekeza umuite..TOZO
 
Back
Top Bottom